Kawaida vijidudu vya malaria (malaria parasite) huesabiwa ukilinganisha na idadi chembe nyeupe za damu(white blood cells),majibu tuliozoea idadi ya chembe nyeupe za damu huwa ni 200 kwa mfano mtu mwenye malaria 4 kawaida inamaanisha huyu mtu vijidudu vinne vilionekana katika chembe nyeupe za damu 200,sasa kama vijidudu 150 vimepatikana katika chembe nyeupe za damu 200 ni malaria kali sana lakini kama vijidudu hivyo 150 vimeonekana katika chembe nyeupe za damu nyingi zaidi kwa mfano katika chembe nyeupe za damu 50000 hiyo nikawaida si ya kushangaza,so inategemea hao malaria parasites walihesabiwa per how many white blood cells, thats ol i know
DASA;2727037]kwahiyo 160=4!
sijaelewa swali
hawa wote uchwara ,dr.riwa wahitajika hapa.
DASA;2727037]kwahiyo 160=4!
sijaelewa swali
kutokana na maelezo yako ya awali, nadhani unamaanisha malaria 150 ni sawa na 4 tu. hapa umeniacha mkuu, ina mana mtu mwenye 9 ni sawa na 9x40=360. sasa ina mana hawa muhimbili wao utaratibu wao wa kutoa majibu ni tofauti na wengine au!.

Kwa hiyo wewe unatumia vipimo gani ku assess level of severity ya Malaria?.... Severity ya malaria haipimwi kwa idadi ya vidudu/parasites (kuna mchangiaji kaeleza) kinachoangaliwa ni parasites wameshambulia mwili kwa kiasi gani (mf. je ubongo , figo nk vimehusika?