Malalamiko ya kuomba namba na kupigwa vizinga chap!

Malalamiko ya kuomba namba na kupigwa vizinga chap!

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
8,143
Reaction score
17,639
Huwa naona malalamiko kadha wa kadha kutoka kwa vijana walioomba namba za mabinti hapa mjini na kupigwa vizinga vya pesa ndani ya muda mfupi.

d199ac9c77bfbf68c088d02252014fa1.jpg

Huyu nimemlipua leo. Kwenye pilika zangu nkakutana na mtoto mzur nikamuomba contact bila hiana akanipa, jion hii ananiambia ana shida ya 30000 aende hospital anaumwa amekwama hana hela. Nilichomjib ndio hcho kwenye picha. Halaf wakilipuliwa wanakimbilia kusema eti uswahili, ina maana wazungu wanatoa tu hela[emoji23]

Hapa mjini usichukue namba ya mwanamke unless unategemea kuwa na mahusiano naye ya kikazi, kielimu, kibiashara, kidini au ujirani. Exception applies kama umeuelewa mziki na unataka kula mzigo.

Kama umeuelewa mziki acha mambo ya stori za ajabu ajabu. Iwapo unataka kumfahamu mtoe out. Otherwise weka mazingira ya kukamilisha azma yako huku ukiwa na budget yako kabisa.

Wanawake wanaombwa namba on a daily basis. Na wanatoa ili kuepuka kung'ang'aniwa na usumbufu. Lakini naturally hawawezi kuwa na mawasiliano na kila waliyempa namba, hii ni reality ya maisha kwamba si kila mtu ana manufaa kwako. They need to filter.

Approach yako unavyoinitiate maongezi naye itamwezesha kujua akuweke kwenye kundi la wenye manufaa au wasio na manufaa. Sasa wewe badala ya kuanza mazungumzo as a grown ass man unaanza kuuliza kwao, ajira yake, anapoishi, familia wako wangapi e.t.c over text?! Unakuwa umezingua.

Basi ukifeli steji hiyo ndipo dada wa mjini anakupiga mzinga ili ajue kama mfuko upo hivyo anaweza kunufaika na wewe. Ukifeli na kwenye mzinga tena namba yako haitakuwa saved na anakuwa ashakudiscredit. Na ukitoa tu hela kama fala bila kuweka forward expectations zako unaingizwa kwenye class ya mabwege ambapo utapigwa vizinga ila hutakaa uvue chupi yake kirahisi.

Acha kulalamika. Understand the system, work with it. Kuwa objective, look at things from the lady's perspective as well. Na most importantly never approach a woman kama hujiamini kwenda all the way. Kujaribu jaribu utajaribu wangapi?
 
Back
Top Bottom