Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,278
Get up,stand up!Hahahahhahhah kuna bestie angu alirudishwa kisa mfupi wakati tunaelekea late 30's. Basi waanze kuangalia vitambulisho khaaaaa
Heheeee..kwani tunapangiana maisha..wao wakienda na filimbi wewe nenda na ngoma..kitu titi4tati.Wakuu Weki Iendelee.
Kumekuwa na Malalamiko Mengi sana Dhidi ya Wamiliki Wa Bar Ya Bambalaga iliyoko Dodoma Kwamba Wanawabagua bahadhi Ya Wateja.
Either Kwa Kuangalia miili Au Personality ya Mtu Husika Wanakuzuia Kuingia ndani Na Mabaunsa Wa Hyo Bar.
Kuna Siku Nilishuhudia Jamaa amekuja na Demu Wake ni mfupi na ana Mwili mdgo Mshikaji akaruhusiwa Kuingia Ndani Ila Demu Wake wakamkataza na Wakamwambia ww MwanFunzi Nenda Kalale. Huu ni udhalilishaji Sana.
Nadhani Wamiliki Wa Bar Husika Waliangalie hili Maana uhai Wa Bar ni wateja Haujalishi ni Aina Gani Ya Mteja.
Karibuni Viwanja vya Ikulu, Hafla Ya Chief Hangaya Akiwapongeza Wachezaji Wa Team Ya Taifa Ya Watu Wenye UlemavuView attachment 2035842
Iko maeneo gani hayo baa ?Wakuu Weki Iendelee.

Duh huyu jamaa bado yupogo?Huyo mmiliki amuulize Pikinini mwenye Njeree'z Bistro iliyopo Leganga-Arusha. Imekuwa gofu kwa sababu ya pigo kama hizo.
[emoji28][emoji1][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16]looh!iko sehemu gani?Hahahahhahhah kuna bestie angu alirudishwa kisa mfupi wakati tunaelekea late 30's. Basi waanze kuangalia vitambulisho khaaaaa
Iko kule capital mall[emoji28][emoji1][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16]looh!iko sehemu gani?
Nilivo mvivu kuzurura sasa...Iko kule capital mall
Ndio chief yupo.Duh huyu jamaa bado yupogo?
Njerees bistro kitambo sanaNdio chief yupo.
Imekuwa gofu aisee siku hizi na ipo sehemu nyeti kabisa kibiashara.Njerees bistro kitambo sana
Ina maana ile club imekufa mkuu?Imekuwa gofu aisee siku hizo na ipo sehemu safi kabisa.