Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
cha wiki toka 8 Gb to 2G na cha siku 1Gb to 900mb
hii kitu nimekuja kuishtukia jana,nimejiunga kichwa kichwa kifurushi cha siku nikijua ntapata 1gb kuja kucheki ni 900mb daaah dakika 20 tu kimeisha full ujinga huu mtandao.