Malalamiko: TIGO Tanzania

Malalamiko: TIGO Tanzania

Joined
Sep 11, 2014
Posts
22
Reaction score
0
Hawa tigo ni wazi sana nimeamua kuivunja laini yao. Nimeweka vocha nikajiunga kifurushi, nimepiga simu mpaka muda umeisha ghafla inaingia meseji wamenikopesha 1300 nitalipa 1500. Sikuhitaji kukopa wala kukopeshwa. ....
 
Hawa tigo ni wezi sana. Nimenunua kifurushi nikaongea mpaka kimeisha ghafla inaingia meseji wamenikopesha 1300 nitalipa 1500. Na wala sikuhitaji kukopa.
 
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
Wamepunguza kifurushi cha internet cha mwezi toka 35GB hadi 5GB kwa bei ileile ya sh elfu 20. Wamenikera sana.
 
Inabidi tuweke mgomo wa kutumia hizi huduma za simu za mkononi walau wiki moja tu kila mmiliki wa simu hakuna kuweka vocha, tuwaone kama ofisini watawasha vi yoyozi, Voda wanachinja,tigo wananyonga, airtel wanaziba pumzi. loh.
 
M nakereka tu na ufanyaji wao wa mambo kimya kimya,wakat promo zao uzinad kwa nguvu zote.
 
Hawa tigo ni wazi sana nimeamua kuivunja laini yao. Nimeweka vocha nikajiunga kifurushi, nimepiga simu mpaka muda umeisha ghafla inaingia meseji wamenikopesha 1300 nitalipa 1500. Sikuhitaji kukopa wala kukopeshwa. ....

Wajanja sana hawa watu. wakifanya hivyo kwa watu laki 2, ni 200*200000=40,000,000Tshs. Dah!! Utahamia wapi sasa? Kote hamna huruma! Ni ulimwengu wa mbwa anakula mbwa.
 
Wamepunguza kifurushi cha internet cha mwezi toka 35GB hadi 5GB kwa bei ileile ya sh elfu 20. Wamenikers sana.

mmh! Hizi comedy sasa. Mbona badiliko kubwa sana! Au ilikuwa promo! Ngoja nisubiri airtel sasa, maana voda kimeshanuka, laini nimeweka kwenye kikombe.
 
Sgsshshshdbsjsfsuwjwvdhd zao tigo. Wamenipeperushia mishe zangu kibao tu na linetwork lao la kizamani. Gahdjfldjahqaj
 
Na bado watatuibia mpaka tukome. Hii yote ni kutoka a Na kuwa Na chombo dhaifu kama TCRA. Hakuna lolote wafanyaro wanakula mshahara kama wafanyakazi wa ATC
 
mmh! Hizi comedy sasa. Mbona badiliko kubwa sana! Au ilikuwa promo! Ngoja nisubiri airtel sasa, maana voda kimeshanuka, laini nimeweka kwenye kikombe.

cha wiki toka 8 Gb to 2G na cha siku 1Gb to 900mb
 
yan mitandao yote ni wanyonyaji wa kutupwa ila tigo wamezidi yani tigo siku hz ni kichefuchefu
 
TCRA mko wapo watanzania wanaibiwa na malalamiko mnayapata hamyafanyii kazi fungeni haya makampuni hata kwa mwezi mmoja tu ili waheshimu sheria za nchi
 
Vifuri navyo vyakupiga wamepunguza dakika naenda zantel sasa
 
Vile vifurushi vya facebook sijui wamevitoa??? hata havijafikisha mwezi!
 
Inabidi tuweke mgomo wa kutumia hizi huduma za simu za mkononi walau wiki moja tu kila mmiliki wa simu hakuna kuweka vocha, tuwaone kama ofisini watawasha vi yoyozi, Voda wanachinja,tigo wananyonga, airtel wanaziba pumzi. loh.

Hii Kampen Itabd Iwe Ya Ktaifa.
 
Back
Top Bottom