Malaika Beach Hotel Mwanza

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,458
Reaction score
5,169
Jamani niko Mwanza, na nimepata nafasi ya kufika hapa Malaika Beach Hotel, ni hotel nzuri sana, haijakamilika na wahudumu wamezubaa.
Je ikikamilika na huduma zikiboreshwa inaweza kuwa na nyota ngapi?
 
Wasiliana na Hotels Association of Tanzania (HAT) hawa nadhani ndo hutoa accreditations **, ***, ****, *****
 
Afadhali umewekwa huru mwanawane, tulimiss sana mawazo yako.
 
ebana pametulia ikikamilika itakuwa sehumu nzuri sana ya ku hangout
 
acha tu kwakweli apo mahali
pakikamilika itakuwa our little paradiso
 
hao wanazengo-wahudumu kuzubaa ni necha ya watu wa mwanza ha ha ha
mie nilichoka kbs walivo ila nshawazoea mara nyingi naenda mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…