Makwapa yawe safi jamani

Wadada tunakumbuka usafi nyie wanaume ndoo puuuuuh! umekesha huko kwenye shughuli zako hata muda wa kujichek hakuna af na usafi iwe kwako homa ni balaaaa.....wadada, wadada wa wap...

Kunuka kwapa nayo inatokana na mtu kuna mtu anaweza asioge hata siku mbili lakin huwezi sikia harufu ya kikwapa' sasa kuna hao wengine akioga sasa hivi baada ya dakika 60 hilo kwapa linavyotema sasa dah
 
Ni sexy vibaya mno.halafu mabinti wanakuwa wanaipenda ile harufu natural ya kikwapa. Yani wanachanganyikiwa nayo mabinti

Hayupo anaeipenda iwe natural au artificial anaependa huyo ni mchafu kwa msafi hawez penda hii harufu aisee
 

Kwani 'singlendi' ina uhusiano gani na maumbile ya kwapa la mtu?

Ninyi wadada huwa mna kijasho fulani hivi, mbaya zaidi ukutane na yule aliyekumbatia mpochi wake siku nzima wenyewe sijui mnaita pima joto...

Usiombe sasa kwenye daladala anyanyue mkono kushika bomba au kupokea simu ya shosti...:tape:
 
Siyo kwenye daladala tu kwenye mjumuiko wa watu, kuna baadhi ya wanaume ni wavivu aisee na so zamakwapani tu hata kule ikulu black house nako kunatakiwa usafi tufyeke tukifyeka hata harufu za huko zinapungua
 
Siyo kwenye daladala tu kwenye mjumuiko wa watu, kuna baadhi ya wanaume ni wavivu aisee na so zamakwapani tu hata kule ikulu black house nako kunatakiwa usafi tufyeke tukifyeka hata harufu za huko zinapungua

Wengine kufuga nywele makao makuu ya chama na serikali ni suna dada...mbuga ya wanyana lazima iwe na pori kdg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…