Makutano ya kiroho

mkuu, tunasubiri hoja zako na wewe utuambie kuhusu hizi imani zilizozuka tz za kuegemea kwenye masula ya kiroho ili kutatua baadhi udhalili unaofanywa na wasiojulikana , je kwenye ndoto unawezaje kukutana nao.
Tungekuwa na watu makini na wasafi hawa wa kiroho wangeweza kutatua changamoto nyingi sana na kutengua vitendawili vigumu... Lakini bahati mbaya sana nao wamejawa na uchafu husuda na mambo mabaya
 
Ha ha haaaa.. Kwa sisi wazee wa vilauli, ukilala bila kunywa ukilala roho itatoka kwenda kutafuta mvinyo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndio maana kuna watu hulala na viroba uvunguni
 
Asanteeeee
 
Naona mada imekuwa ngumu kueleweka na wengi
 
Naomba tena kwa mara ya tatu hii mada imejirudia mara tatu tafadhali iunganisheni... Ningeweza mwenyewe nisingependa kuwasumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…