Makutano ya fire na Morocco-panahitaji macho zaidi

Makutano ya fire na Morocco-panahitaji macho zaidi

pale morocco kwa sisi tunaoenda masaki,kawe,mikocheni wanajua kutukomesha
balaa lake utaliona jioni,wale matrafiki huwa nahisi wametolewa katavi,hawaijui daslam
halafu kile kituo cha dladala cha morocco(kama unaenda magomeni) kifutwe,kinasababisha foleni..
Kituo kile naona ni nguzo ya watu wengi sana. Tatizo sijui nini? Kule upande wa pili wamejenga kikubwa tu huku hakuna kituo kabisa.
 
Kituo kile naona ni nguzo ya watu wengi sana. Tatizo sijui nini? Kule upande wa pili wamejenga kikubwa tu huku hakuna kituo kabisa.
kile kituo kingeuliwa halafu daladala zikashushie kanisa/biafra(unaweza kutembea kw dakika sita tu kutoka morocco hadi kanisani and vice versa)
 
Back
Top Bottom