Ndivyo alivyokuambia Mafwele?Yanayotokea Iran ni same thing na yaliyotokea Tanzania now wanasaka watu house to house internet ipo offline , starlink set zinatafutwa house to house, maiti hospital zimezuiliwa hadi ununue maziko kama tz miili haionekani. Waliokamatwa ni wengi sana, kisingizio cha maandamano lawama nchi za nje,