Makundi ndani ya CHADEMA

hapo kwenye red kama uliandika wewe basi utakuwa na matatizo makubwa ya kifikra.Hilo kundi la kilimanjaro unalosema umeweka wajumbe wa nchi nzima kama supporters.Kuthibitisha jinsi mlivyo wagumu kuelewa.Wewe mpaka uahdithiwe kuhusu CDM wakati kila siku wansemwa na wao wanajieleza.Hizi habari za kuambiwa na akina Mukama ni ishara kuwa wewe ni mbea siku siku zote.

Kinaniuma san akuona CCM inapenda ishi na ujinga kiasi hiki, wananchi wa kawaida tuu wanaijua CDM vizuri kuliko uongozi mzima wa CCM.Wao kila siku huja na habari ambzo hata raia wa kawaida naweza sema ni uongo.CCM wapo so dettached with the society kiasi cha kufanya raia ndio wawaletee ccm maendeleo.
 
Tuondoleeni huu wimbo wa ukanda na ukabila tafadhali
 
unatakiwa ukiona habari uangalie na maslahi ya chombo husika, nani anakimiliki na wapi wametoa habari hizo, usipelekwe pelekwe na magazeti pendwa utapotoshwa kila uchao, sauti huru ni zaidi ya gazeti la uhuru
 
Yan nyimbo kila siku mnabadilisha lakini hazifanikiwi!

Pole sana!
 
Magamba yanahaha kutuhamisha kutoka kwenye hoja ya mauaji ya raia kwa kuleta vituko haya wapi majebere,rejao na ritz magan
mba njoo mfuraie huu upuuzi maana ndio zenu
 
wakati marekani wanafanya siasa za kiuchumi na kushindana kubuni sera za maendeleo, magamba wanafanya siasa za maji taka. hii ni mbinu ya kizamani ilitumika wakati wa chama kimoja enzi ambazo elimu ilikuwa chini na wa TZ walikuwa si waelewa. Kuendeleza siasa hizi za majungu kwa wa Tz wa leo ni sawa na kufundisha mwanafunzi wa chuo kikuu 1-3= HAIWEZEKANI!
 

ni wachache sana wenye mtazamo makini kama huu,
wengi wanawaza kama mafisadi, hawataki kusikia habari wasoipenda, wanaipinga na kuipuuza tena kwa maneno matupi yasiyojibu kilichosemwa. Ni busara kujaribu kuitafakari kama ina ukweli ndani yake au kujua kama inapambwa ili ikaribiana na ukweli.
 
Hizi mbinu zenu za kifisadi zitakuja kuwarudi na kuwaangamiza. Wale vijana wa Bagamoyo wakiongozwa na Ridhiwani waliosema Rais hawezi kutoka kaskazini walikuwa wafuasi wa Zitto? Mlitumia propaganda ya udini imewaumiza wenyewe kwenye Sensa na sasa mnashindwa kuwa handle Waislamu. Ufalme uliofitinika hauwezi kudumu milele
 

ni wachache sana wenye mtazamo makini kama huu,
wengi wanawaza kama mafisadi, hawataki kusikia habari wasoipenda, wanaipinga na kuipuuza tena kwa maneno matupi yasiyojibu kilichosemwa. Ni busara kujaribu kuitafakari kama ina ukweli ndani yake au kujua kama inapambwa ili ikaribiana na ukweli.
 

Gerrard,
Leo haupo sawa una msongo wa mawazo.
 
Last edited by a moderator:
Credibility ya hilo gazeti ni ndogo, so yanayotoka kwao bila shaka hayawezi kuaminika!!!!
 
waandishi wa gazeti la sauti huru ni mapolisii wastaafu walioamua kujiajiri
 
gazet la magamba! lililokosa wateja kwiiikwiiiikwiii
 
Hadi 2015 mtasema mengi, mnatapatapa tu. Watanzania wa sasa hawadanganyiki kabisa. Imekula kwenu vibaya sana!!!!

M4C inawakamua vinyesi vyenu vyote, sijui kama kuna dawa ya kufunga kuendesha mnakoendelea nako sasa. Huu ni mwanzo tu, subiri bado mashambulizi zaidi yanakuja. Long Range missiles on alert...........
 
jaribuni tena kitu kigine huu umbeya umesha shindikana watu wameshaamua kuipenda cdm ndio tegemeo lao ccm kimbilio la mafisi ....
kama umetumwa nakukumbusha tu bunda ndio wilaya masikini tz...panga mipango vizuri achana na cdm utakumbuka shuka kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…