Makundi ndani ya CCM yana historia pana

Makundi ndani ya CCM yana historia pana

ikitokea magu akapinduliwa kibabe na Mr membe
wewe utakuwa team Gani?!?
Kwanza, mimi sina timu kwa sababu siasa sio ushabiki.

Pili, Membe yupi? Huyu ambaye alikosa kura za NEC ya CCM mpaka Mama Salma Kikwete na Ridhiwani wakampigia kampeni ili achaguliwe?

Tatizo lako unazifungamanisha siasa na timu wakati hujui kuwa siasa zinachagiza maisha kama Taifa.

Kuniuliza tu kuwa nitakuwa timu gani unaonyesha hujuo umuhimu wa siasa katika maisha.

Sheria ambazo zinatufanya tuishi nchini zinatungwa na wanasiasa.

Siasa sio ushabiki bali ni maisha.

Nakushauri ukajifunze kwanza elimu ya uraia kabla ya kuanza kudadavua masuala ya kisiasa!

Samahani kama nimekukwaza lakini kumbuka mara nyingi dawa huwa ni chungu lakini lazima uinywe ili upone! Huo ndi ukweli wangu!
 
kwa maana hiyo wewe ni ndiyo mzee?
akipita Mr john sawa na kama meza itapinduliwaa kibabe na akapita Mr membe napo sawa?
Bora mradi posho inaingia?!
 
Umakini uko wapi tapeli yule, amshukuru JPM kumfichia aibu. yule mzungu angemburuza mahakamani asingechomoka.
Mkiendelea na propaganda zenu za kijinga nitamshawishi mzungu amfungulie mashitaka
Nachelea kusema hujui unachokiandika, unaongozwa na mahaba mno, punguza mahaba jenga hoja, kwa kifupi ni kuwa mwenyekiti wako wako kabanwa kwenye chama kwa sasa.
 
ikitokea magu akapinduliwa kibabe na Mr membe
wewe utakuwa team Gani?!?
Hawa ni wafuasi wa watu ndani ya chama, watatafuta mtu mwingine mwenye nguvu kwa wakati huo na kuungana nae, ni kama vijana fulani wa ccm wapiga kelele wa kipindi hiki, hawa walikuwa ni vijana wa Membe per se ila leo wako chattle kwasababu ndilo mkate wao wa kila siku ulipo.
 
Hadi uwe kwenye system ndo utapata hela
Kijana kama huyu anayeshauri watu watafute hela kwa watu wanaofahamu psychology wanakuambia yeye ndio anatakiwa ashauriwe atafute hela, yeye anaona kwasababu hana kitu hivyo kila mtu hana.
 
Hawa ni wafuasi wa watu ndani ya chama, watatafuta mtu mwingine mwenye nguvu kwa wakati huo na kuungana nae, ni kama vijana fulani wa ccm wapiga kelele wa kipindi hiki, hawa walikuwa ni vijana wa Membe per se ila leo wako chattle kwasababu ndilo mkate wao wa kila siku ulipo.
kwa maana hiyo hata Yule mwanadaslam yake naye alikuwa team membe??!
kama Ni hivyo basi jiwe anapakwa mafuta kwa mgongo.
 
Mkuu wa mkoa kasema ni marufuku kutembea na picha zenye maudhui ya ngono..hahahahaha!!!!akina mama wa kutembeza matunda muhimu jiandaeni tutateleza laivu bila condom aafari hii tunavaa contena tupu lililokuwa na samani.Makonda tufunge sasa.

petting-caress-man-penis-erection-banana-condom-satisfaction-pleasure-sex-woman-hand-masturbat...jpg
 
Mkuu
1994 ndani ya ccm iliasisiwa makundi matatu muhimu ktk Vita ya kusaka urais.
Muasisi wa makundi haya ndani ya ccm naweza kusema ni aliyekuwa Waziri Mkuu na makamu wa Kwanza na pia makamu Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Tanzania Bara Mzee Dr Samuel John Malecela.
Mkuu leo umesema kweli. Ulikuwa wapi wakati wote huu?
 
Back
Top Bottom