Makumira wakosa nafasi za uwalimu

Status
Not open for further replies.

tinaalfred

Member
Aug 5, 2011
15
3
Wadau wa jamii forum cha kushangaza serikali imechagua wanafunzi 6 wa shahada ya uwalimu katika chuo cha makumira kati ya watu 400 kweli ni umakini
 
Poleni sana,hii ni kukosa umakini kwa wapangaji. Labda awamu ya pili itakayotoka mwezi wa tatu watawapanga kuweni wavumilivu.
 
Hatukuwa mia 4 tulikuwa mia 2.8 tu, naomb nikusahihishe mtoa mada.

Mkuu Baba D una maana gani kusema 2.8? Nawe haukupangwa mkuu? Nakumbuka kuna tangazo moja la kazi nilipost ukasema ungeomba mdau wangu poa mimi nimepangwa Kigoma mwenzenu nami nawaombea mpangwe haraka wadau wenzangu
 
Yap, nam ni mmoja wa waliowekwa pending, bt mim bahat yangu nshapata job, naenda kuanza tr 1feb. Nazid kuwaombea washkaj zangu nao wapate ajira!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom