Makubwa yaliyompata jamaa yangu

Hahahahaha! Tall chunga sana, uko kwenye probation period!!!!!!
Naelewa saana mkuu, kwa nini unasema hivi,hakuna shaka unasababu nyingine ILIYOJIFICHA.........yaani nimekuelewa sana....UBARIKIWE.
 
hii si kweli itawezekanaje namba ya mkeo au sauti yake wakati anakuelekeza usishtuke au huyo mke kwa nn hakujua namba ya simu ya mumewe au sauti yake

TOPIC CLOSED KWA UDANGANYIFU

Bora wewe umesema bwana, maana niliogopa kusema hivyo kwa kuchelea kushambuliwa na wadau. Maana hayo maelezo hapo juu hayaingiii akilini.. Halafu kwenye facebook watu wanatumia majina yao halisi, labda kama ilikuwa website nyingine!
 
Ile list wako wapiganaji 25 hao akina MS wala huwa sioni mitundiko yao! Tall akiweka nyingine kama hii nitaedit na kuwa nao 26
Inaweza tokea usimpende mtu, labda kwa kutokana na thread au post zake,huenda kasema ukweli au mawazo fulani ambayo huyataki
mfano anaweza kutoa mawazo kuwa jamani eeeeh wanaume TUTAHIRINI AMBAO BADO. Kwa mtaji huu wale wote wasiotahiriwa wanaweza kuanza kumchukia mtoa thread au post. Lakini hayo ni mawazo yake tu INABIDI TUVUMILIANE NA KUSAMEHEANA HAPA JF vinginevyo zitatafutwa orodha nyingi na kuzitafutia sababu.ikiwezekana ...........
 
Bora wewe umesema bwana, maana niliogopa kusema hivyo kwa kuchelea kushambuliwa na wadau. Maana hayo maelezo hapo juu hayaingiii akilini.. Halafu kwenye facebook watu wanatumia majina yao halisi, labda kama ilikuwa website nyingine!
YAANI KUNA WENGINE HADI ILE YA WHO, WHEN,WHERE,WHY,......ITIMIE ili akaandike story gazetini jamani si mpaka mleta story akubali kutoa full details,
kweli nimtaje jamaa yangu anaitwa fulani,yupo benkifulani,haya yalitokea bar fulani.je kesho na kesho kutwa jamaa yangu akijikuta yupo gazetini....tena ni lead story nitakuwa nimemtendea haki JAMAA?.........basi hawa ndio wale wanaosema huo ni uongo nia yao NISEME SI UONGO ILI NISEME KILA KITU, WAPATE FULL STORY.......WANISAMEHE KWA HILO........Haya ni mawazo yangu samahani kama nawakwaza
STORY...
 
LAWYER niko hapa na nimeshindwa kuikubalisha kwa namna yoyote ile
mheshimiwa jaji (lawyer)kama huikubali nabadilisha lawyer sina imani na wewe,kwanza utasikilizaje shauri wakati GLASS YA POMBE IPO PEMBENI NAIONA? NABADLISHA LAWYER,AU NAKATA RUFAA.
 
Inaweza tokea usimpende mtu, labda kwa kutokana na thread au post zake,huenda kasema ukweli au mawazo fulani ambayo huyataki
mfano anaweza kutoa mawazo kuwa jamani eeeeh wanaume TUTAHIRINI AMBAO BADO. Kwa mtaji huu wale wote wasiotahiriwa wanaweza kuanza kumchukia mtoa thread au post. Lakini hayo ni mawazo yake tu INABIDI TUVUMILIANE NA KUSAMEHEANA HAPA JF vinginevyo zitatafutwa orodha nyingi na kuzitafutia sababu.ikiwezekana ...........

Kiongozi! Sina chuki na hizi Ghost names za JF ....wacha tubaki na anonymity zetu....shida yangu ni wale wanaoleta post kama hii ya kwako haina mashiko. Unaweza kuingia kwenye Ignore list ila kwenye real life tunakunywa kahawa na kashata pamoja. Labda nikuulize ulifikiria nini great thinker kuweka hii kitu? Unajua ukijua mtu anakudanganya na wewe ukakubali kudanganywa mtu huyu ataendelea kuwa muongo.

Bon week end
 
hahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kosa si facebook ila ni ushamba wa mshikaji tu lakini huyu mkewe wa ndoa au wa ndoo maana kama ni mke wake wa ndoa wasingalifichana mambo ya adress za facebook huyo si benka wa ukweli afu mi9 nashindwa amua ila wote wanamakosa ivo basi wasameheane lakini pia mshikaji akumbuke kuwa wanaume kubembeleza WAMEUMBIWA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
VALEX:teeth:
 
LAWYER niko hapa na nimeshindwa kuikubalisha kwa namna yoyote ile

hehehe wewe umesomea sheria zinazohusiana na vinywaji bana hapa tunaongelea sheria za JF a.k.a mkono mtupu haulambwi. nimejaribu kumbipu lawyer wa marehemu maiko jakson aje kumpapatua TALL, lakini baada ya kumpa maelezo kasema bora ajiuzulu kuliko kuitetea hii sredi.

hii sredi ina utata kama mpira wa JABULANI.
 
ha ha ha ha ha ha!
hakika wewe ni klorokwini
 
Nasikia kiu mkubwa Mzalendo pub? bht yuko maternity leave maana Fidel80 naye haonekani....
Fidel yuko sauzi na vuvuzela lake anaishabikia Naijeria. Bht kafanyiwa operesheni ya kujifungua mapacha ( matokeo ya kutotumia kondom, baba wa watoto bado hajajulikana)

hehehe wewe umesomea sheria zinazohusiana na vinywaji bana hapa tunaongelea sheria za JF a.k.a mkono mtupu haulambwi. nimejaribu kumbipu lawyer wa marehemu maiko jakson aje kumpapatua TALL, lakini baada ya kumpa maelezo kasema bora ajiuzulu kuliko kuitetea hii sredi.

hii sredi ina utata kama mpira wa JABULANI.
Siyo kama Mavuvuzela ya Zuma?
 
Back
Top Bottom