Makubazi

Bwana Mshana kama hujui makubadhi (siyo makubazi) ni nini basi ni bora unyamaze au uombe kueleweshwa.
 
Bitimkongwe ukinilewesha utanipa nini? Haya nimekusikia kumbe mwalimu wangu wa lugha aliniongopea
 
Last edited by a moderator:

Samahani sitaki 'kukulewesha' kwani hilo ni baya, nilikushauri ueleweshwe maana na neno makubadhi au aina ya viatu vinavyoitwa makubadhi.

Ngoja nikutafutie picha halafu nikuwekee humu uone hivyo viatu vinavyoitwa makubadhi ni vya aina gani.
 
bitimkongwe hili ni jukwaa la full shangwe japo na elimu pia ni muhimu, ni kweli wengi tunachanganya hayo maneno
 
Last edited by a moderator:
haaaa haaaaa mwenye hivi viatu naona aliielewa vizuri ile methali isemayo ukipata kipya usitupe cha zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…