wanawake ndio hufanya hivyo na mifano ipo ,baadhi ya makabila ya nyanda za juu kusini mwanamke akizeeka anamruhusu mumewe atafute GenZ lakini huku akiendelea kuhudumia nyumba kubwa.
Nakuhakikishia pia kuna wanaume wanaruhusu wake zao, nimeliona hili kwa macho yangu.
Ni swala la kutokua mbinafsi na kumpenda mwenza wako zaidi ya unavyoikumbatia Ego yako.