Elections 2015 Makubaliano ya Jakaya na Lowassa na hatari ya Taifa kuanguka, Onyo kwa wajumbe wa CC

Karibu mkuu, japo ungeonyesha mahali nilipokopi ambayo sio maandishi yangu ungenisaidia zaidi kujirekebisha maalim wangu
 
Nakushukuru sana mkuu wangu, umenipa dhima kuu
 
Last edited by a moderator:
Nilijua tu vitu kama hivyo Yericko atakuwa amecopy na kupaste.

Aibu kubwa ni kuwa pamoja na kucopy ameshindwa kulink mifano yake na madhara ya makubaliano ya JK na ED.
 
hata km kacopy the guy is so smart sio km wewe pasco unaishi kwa akili tegemez..yaan umewekwa mfukon mwa mwa mtu tena fisad this is shame
 
Nilijua tu vitu kama hivyo Yericko atakuwa amecopy na kupaste.

Aibu kubwa ni kuwa pamoja na kucopy ameshindwa kulink mifano yake na madhara ya makubaliano ya JK na ED.

Tumia mda wako vizuri kijana,
 
....

.....Hata aje Mtume Mohamed au Yesu Kristu atake kugombea uongozi nchini Tanzania kupitia ccn, ilimradi iwe kupitia ccm basi hao HAWAFAI na ni Laaana kuu!.

.....Kifungu kimeafikiwa !!!!
 
Hongera Yericko kwa andiko hili lililojaa historia.

Kuna kiasi gani cha ukweli ndani ya andiko hili nadhani si swali muhimu kwa sasa.

Shukrani mwanahistoria Yericko.
 
Thesis yako ipo offf the track of what you are trying to say. Poor writing skills and also hakuna mada hapa no substance no facts.
 
....

.....Hata aje Mtume Mohamed au Yesu Kristu atake kugombea uongozi nchini Tanzania kupitia ccn, ilimradi iwe kupitia ccm basi hao HAWAFAI na ni Laaana kuu!.

.....Kifungu kimeafikiwa !!!!

Hahaaa spika keshapitishaaa!
 
YERIKO ni mgonjwa, hakuna linkage kabisa, hata kama tunaichukia CCM hatupaswi kuwa wapuuzi kupita kikomo.
 
Mkuu Yericko, kama ni kweli kuwa ni wewe ndie uliyeandika kule mwanzo, then, kosa la plagiarism nalifuta, you should have said so tangu mwanzo!.

Sorry, na samahani sana!.

Pasco
 
Mkuu Yericko, kama ni kweli kuwa ni wewe ndie uliyeandika kule mwanzo, then, kosa la plagiarism nalifuta, you should have said so tangu mwanzo!.

Sorry, na samahani sana!.

Pasco

One love mkuu, but vipi safari ya matumaini inakwenda au ujio wa jaji ni safari ya kifo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…