Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,985
- 20,263
- Thread starter
- #101
sio anaandika vitu vingine anacopy & pest ingawa ni vizuri sana ila anatakiwa aweke source ya mahali alipotoa aya materials vinginevyo huo ni uwizi km wizi mwingine...xo next time mkuu yeriko uweke source ya materials yk unayotupa...ingawa unafanya kazi nzur sana mambo mengi tunayajua kupitia nyuzi zako big up.....
Karibu mkuu, japo ungeonyesha mahali nilipokopi ambayo sio maandishi yangu ungenisaidia zaidi kujirekebisha maalim wangu