Makubaliano ya Jakaya na Lowassa na hatari ya Taifa kuanguka, Onyo kwa wajumbe wa CC


Ngirimaji

Ngirimaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Messages
213
Points
250
Ngirimaji

Ngirimaji

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2014
213 250
Yani mpaka kero kila sehemu Lowasa Lowasa hamna mwingine jamaniiiii
 
Rapha

Rapha

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Messages
633
Points
225
Rapha

Rapha

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2009
633 225
Last edited by a moderator:
P

peace.peace14

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
214
Points
0
P

peace.peace14

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
214 0
Big up Yericko Sikujua tote haya. Nimesoma kipengele Kwa kipengele mada imetulia
 
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
9,087
Points
2,000
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
9,087 2,000
Nashukuru Yeriko kwa kupoteza mda wako kuandika,sijui Ku copy kama hao wanaosema hivyo ,ila kikubwa naheshimu muda wako na pia kiasi Fulani nimepata kujua Historia ya vita vya Israel na Marekani ...na hili la Kivu ndio kabisa linaonyesha kwanini wanyarwanda walikua na chuki Sana juu yetu baada ya kupeleka vikosi vya m23 nashaangaa wanaosema Habari ni ndefu lakini hakuna series ambazo hawajaangalia
 
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
9,087
Points
2,000
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
9,087 2,000
Nashukuru Yeriko kwa kupoteza mda wako kuandika,sijui Ku copy kama hao wanaosema hivyo ,ila kikubwa naheshimu muda wako na pia kiasi Fulani nimepata kujua Historia ya vita vya Israel na Marekani ...na hili la Kivu ndio kabisa linaonyesha kwanini wanyarwanda walikua na chuki Sana juu yetu baada ya kupeleka vikosi vya m23 nashaangaa wanaosema Habari ni ndefu lakini hakuna series ambazo hawajaangalia
Kumradhi ni vita vya Israel na palestina
 
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,656
Points
2,000
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,656 2,000
Nashukuru Yeriko kwa kupoteza mda wako kuandika,sijui Ku copy kama hao wanaosema hivyo ,ila kikubwa naheshimu muda wako na pia kiasi Fulani nimepata kujua Historia ya vita vya Israel na Marekani ...na hili la Kivu ndio kabisa linaonyesha kwanini wanyarwanda walikua na chuki Sana juu yetu baada ya kupeleka vikosi vya m23 nashaangaa wanaosema Habari ni ndefu lakini hakuna series ambazo hawajaangalia
Ubarikiwe sana mkuu
 
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,656
Points
2,000
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,656 2,000
Kumradhi ni vita vya Israel na palestina
Ukweli wa historia nikuwa Israel ya leo sio ile iliyotajwa katika biblia, hii ni yakununua watu toka Urusi na Uingereza
 
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,656
Points
2,000
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,656 2,000
Hongera Yericko kwa andiko hili lililojaa historia.

Kuna kiasi gani cha ukweli ndani ya andiko hili nadhani si swali muhimu kwa sasa.

Shukrani mwanahistoria Yericko.
Jambo jema ndugu, karibu sana
 
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Messages
1,068
Points
2,000
Age
46
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2016
1,068 2,000
Haijalishi imetoka wapi ila nmepata uelewa mzuri!
Yericko ana kitu fulani anachotaka kutuambia hapa.,kwa kauli za el kua yeye ana mabadiliko na asipopatikana ndani ya ccm bas wanainchi watampata popote ,let say hata act kwa zzk !, je hiki chama cha kibabe chenye historia ya kuwakolimba wasaliti wake kitamuachia pumzi yake ya kupasua hiki chama wanachodai ''kitatawala milele''?,,,naona vita ya mchana kweupe hapa huku nikiona ukawa ikiimarika baada ya ccm kukosa umoja wa udhalimu ,na hapa ndipo ambapo wanainchi walioelekezwa kumchagua loasa kupitia ccm wakimkosa na kuipa kura ukawa maana hawa raia wa tanzania hawamjui agustino ramazan au mahiga!
Mkumbuke tu kuwa 1995mkapa alikua hafaamiki ila mwalimu alitumia nguvu ya ziada haswa na zle mbinu za chama tawala ili yule mgombea angalao ashinde.
This iz 2015 ,no mwalimu ,nan ni nan?,,,,naiona UKAWA ikulu asante Mungu # logic
Leo ni March 13,2019. Vipi EL yuko ikulu? Nina mawazo fulani hivi ya kijinga, kuiondoa CCM madarakani ni vigumu kwa sababu wanajeshi wanaapa kwa rais ambaye ndo mCCM mkuu. EL ni rafiki wa kutupwa wa JK. Ili EL ashinde urais ilikuwa lazima JK ahamie Chagadema. Vinginevyo ilikuwa ndoto na itabaki kuwa ndoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Messages
1,068
Points
2,000
Age
46
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2016
1,068 2,000
Kumbe Jk na Lowassa ambao hawakukutana barabarani huko waliko kutana walitengeneza mambo mengi fake,kama walivyo kubaliana kuachiana urais bila idhini ya watanzania ambao ndio waajiri wao wa nafasi ya urais,makubaliano ambayo hayakuwa na Baraka za chama chao.

Ndiyo maana wameliingiza Taifa kwenye gharama kubwa kwa mikataba yao fake kwa kuwa wametoka mbali na mambo yao ya fakefake.
Utashangaa watu wanamkumbuka JK, lakini nfo aliechangia pakubwa nchi kuwa na mikataba ya kishenzi katika kuvuna rasilimali za nchi na uendeshaji wa makampuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Messages
1,068
Points
2,000
Age
46
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2016
1,068 2,000
Kama EL ni mwizi kwanini JK na Serikali yake hawakumshtaki kama walivyofanya kwa akina Costa Mahalu?!.

EL ANA SIRI nzito YA RICHMOND.
na itajulikana ikiwa EL atakatwa.
Unaelewa maana ya RICHMOND? Ni majina ya watoto wa EL yaani Richard na Mondi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,284,203
Members 493,978
Posts 30,817,212
Top