Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 5,950
- 4,816
sio kila mtu anapata habari haraka, kuna wengine wanatoko kuelekea shughuri za kila iku bila kujua ili wala lile,Ikitangazwa Curfew hamna atakayejipendekeza kutoka mzee ule moto sio poa
Nadhani haukuingia barabarani ile Chuma ikimkuta wa karibu yako ikamfumua ubongo wewe hautamani tena kuendelea na safari
Achana na hizo assumptions kuwa risasi zitawaishia kwa SMG tu magazine inakaa risasi 30 hapo wakiamua wawalenge watawadondosha hata watu 20