Makosa Yale Yale yanafanyika tena

Makosa Yale Yale yanafanyika tena

Hakuna maandamano ya amani yanayohusu kudai haki kutoka kwa anayekukandamiza, sioni malengo ya maandamano kufanikiwa kama waandamanaji watataka wapewe sapoti na ulinzi kutoka kwa serikali.

Pili maandamano haya hayawezi kufanikiwa kama raia hawataamka kiakili Kwamaana maadui(Serikali) wamejipanga zaidi kuliko mwanzo baada ya kuusoma mchezo na kugundua udhaifu wao.

Kuna watu mtapanga nao maandamano/tricks lakin miongoni mwenu ndio hao hao wanaowasaliti na ndio hawa hawa wana ID za uaskari/ukachero kutoka kwa adui.

Kuna uwezekano pia serikali ikishindwa kuyasimamisha haya maandamano itaandaa nayo waandamanaji wake wenye mlengo wa tofauti na waandamanaji halisi, yaani hawa waandamanaji hewa wa serikali watakuwa na matamko yao.

Pia kuna uwezekano zaidi walichokifanya mwanzo hawatokirudia ili kujisafisha watatoa sapoti ya ulinzi kwa waandamanaji ambapo tunarudi kule kule kuwa huwezi kufanikiwa malengo/mipango uliyoiandaa unayotaka kuidai kwa anayekulinda ambaye wewe unampinga hilo halipo.

La mwisho kutokana na uoga, Hofu na matokeo ya kilichotokea maandamano yaliyopita, hakutakuwa na watu wengi, au wasiwepo kabisa bali kutakuwa na uvuguvugu+utulivu mkubwa nchi nzima, kila mtu alisubiri Catalyst ya kureact.

Kuanzia tareh5 DECEMBER, jiji la Dodoma&Dar es salaam ulinzi utaimarishwa zaidi ya ilivyowai kuwepo maana ndiko maeneo serikali wanaweza kufanyia sherehe zao za uhuru bandia.

Baada ya tarehe9 tutaanza kuona majibu ya visasi..mark this, iwe Kwa udogo ama ukubwa, kwa usiri ama uwazi, watu wana machungu, something is cooking

👉Note: hizi ni assumption tu zilizobase kwenye probability na prediction determined na matukio yaliyotokea, yaliyopo sio uhalisia exactly... let's wait and see
 
Nahisi yafuatayo.

1 Curfew kutangazwa kuanzia tar 8

2 Polisi kusambazwa mitaani toka tar 8, kisha, kuanzia alfajir ya tar 9 kuanza kupiga mabomu ya machoz for no reason ili watu wasitoke ndani
Watajiharibia zaidi wakifanya hivyo now macho masikio ya ulaya na america yapo Tanzania kwa ukaribu..
 
Tununue vyakula vya kutosha.maana lazima tupigwe karantini
Nani atakubali kupigwa karantini? People ziliheshim jeshi ambapo zimekuja kujua kuwa jeshi lao limewasaliti so mkund* akitoa amri nyingine watatii vijakazi wake na si raia.

Patachimbika, kama na wao watawalenga waandamanaji kwa risasi ujue risasi zitawaishia kama nilivyoshuhudia polisi kutaitiwa na vijana hadi kukimbia. Lakin kama watatumia fimbo ujue ngoma hadi majogoo
 
Iseme hiyo
Faida pekee ya D9 ni economic disturbance kwa sababu kwa kadili serikari haramu na pumbavu ya Samia inavyo jaribu kuzuia maandamano ndivyo inavyo angusha kabisa uchumi na trust kwa uwekezaji na utalii ...hivyo hii plani ya kuitisha maandamano kila mwezi ina tija hata kama maandamano yasipo kuwepo ...nikama mjuavyo hiyo D9 watu wengi hawata kwenda mjini mabasi na magari hayata kuwepo njiani vituo vya mafuta havito fanya kazi itakuwa ni outkafyu hata kama serikali isinge tangaza kafyu ......maandamano yenye nguvu ni yake ambayo yanafanyika watu wote wakiwa kwenye shughuli zao za kawaida tena yanatakiwa kuanzia city centre....yaani watu wanaingia mjini bila ya maandamano na kuyaanzisha katikati ya mji ghafla siyo haya ya kutembea kutoka nje ya mji na kujaribu kuingia mjini kwa miguu....maandamano yanatakiwa kufanyika siku za kazi za kawaida kuanzia katikati ya mji na nje ya mji kuekekea katikati ya mji hapo mfumo wa ulizi unashindwa kukabili hiyo move kirahisi pia unashindwa kutambua watu wa kawaida na waandamanaji ...kuna watu wanataka kuandamana ila wanashindwa kwenda kwenye maandamano hivyo wakijikuta katikati ya maandamano watashiriki ...faida ya maandamano kufanyika siku za kawaida na ghafla ni kwamba watu wengi wanajikuta ndani ya maandamano mijini wakiwa trap na usafiri wa abiria una kufa ghafla na magari yanakuwa traped hivyo kuzuia movement ya askari kuingia nmau kutoka au kujikusanya kwa haraka au kumove kutoka sehemu moja hadi nyingine kirahisi ..kuna faida kubwa sana magari yanapo kuwa mengi kwenye maandamano na kutengeneza jam na watu wanapo kuwa wengi wame trap kwenye maandamano.
 
Faida pekee ya d9 ni economic disturbance kwa sababu kwa kadili serikari haramu na pumbavu ya Samia inavyo jaribu kuzuia maandamano ndivyo inavyo angusha kabisa uchumi.na trust kwa uwekezaji na utalii ...hivyo hii plani ya kuitisha maandamano kila mwezi ina tija hata kama maandamano yasipo kuwepo ...nikama mjuavyo hiyo D9 watu wengi hawata kwenda mjini mabasi na magari hayata kuwepo njiani vituo vya mafuta havito fanya kazi itakuwa ni outkafyu hata kama serikali isinge tangaza kafyu ......maandamano yenye nguvu ni yake ambayo yanafanyika watu wote wakiwa kwenye shughuli zao za kawaida tena yanatakiwa kuanzia city centre....yaani watu wanaingia mjini bila ya maandamano na kuyaanzisha katikati ya mji ghafla siyo haya ya kutembea kutoka nje ya mji na kujaribu kuingia mjini kwa miguu....maandamano yanatakiwa kufanyika siku za kazi za kawaida kuanzia katikati ya mji na nje ya mji kuekekea katikati ya mji hapo mfumo wa ulizi unashindwa kukabili hiyo move kirahisi pia unashindwa kutambua watu wa kawaida na waandamanaji ...kuna watu wanataka kuandamana ila wanashindwa kwenda kwenye maandamano hivyo wakijikuta katikati ya maandamano watashiriki ...faida ya maandamano kufanyika siku za kawaida na ghafla ni kwamba watu wengi wanajikuta ndani ya maandamano mijini wakiwa trap na usafiri wa abiria una kufa ghafla na magari yanakuwa traped hivyo kuzuia movement ya askari kuingia nmau kutoka au kujikusanya kwa haraka au kumove kutoka sehemu moja hadi nyingine kirahisi ..kuna faida kubwa sana magari yanapo kuwa mengi kwenye maandamano na kutengeneza jam na watu wanapo kuwa wengi wame trap kwenye maandamano.
Hiyo unayoina ya shughuli kutofanyika kwamba kwa kuhofia maandamano kwangu naona ndo point ya USHINDI.

Fikilia ndani ya sku tatu mfululizo hakuna kazi inafanyika, hakuna ofisin imefungua, hakuna usafiri, hakuna shughuli yoyote ile ya uchumi. Ni raia barabarani nchi nzima, na siyo lazima kwamba wakutane city center. Hapo hapo mtaani kwako.

Endelea kuhesab siku zote hizo mnakimbizana na polis + jeshi.

Lazima tu watageukana wenyew kwa wenyewe eatachapana, na hpo to tutaingia dark days rasm.😢😢
 
NI POINT NA MIMI NIMEKUBALI HIVYO NA NIMEELEZA HIVYO ILA INATAKIWA KUFANYA MARA KWA MARA ILI KUFANIKISHA MKWAMO ILA RAIA KUTOKEA INAWEZA WASITOKEE NA INAKUWA RAHISI KUZIDIWA NGUVU NA VIKOSI .....ILA KWA MAANDAMANO YENYE NGUVU YA KUDAI DAMU ZA WATANGANYIKA NA KUIKOMBOA TANGANYIKA LAZIMA NJIA NI HIYO NILIYO ELEZA ...HIVYO MBINU ZOTE ZITUMIKE YAANI MBINU YA KUTISHIA NAYA MASHAMBULIZI KWELI ...HIZI MBINU MBILI KWA PAMOJA ZITALETA USHINDI
 
09 December raia watakachokifanya itakuwa historia na funzo.

D9 tukitoka kwa kujipanga ,namaanisha kutoka kwenda kupambana na magaidi wa samuya na abdul nakwambia saa saba mchana bibi chura anapakwa wese la mwamposa hapo chamwino.

M029 makosa gen z waliyofanya ni kutoka mikono mitupu kwahiyo D9 msirudie hayo makosa kamwe na kama hamjajipanga kwa mapambano(kuwa na zana) ni bora msitoke tu maana hatutaki kuona wazalendo wanakufa bila nchi kutoka kwa WAHUNI ,ni bora D9 mtoke kupambana na wahuni then watu wakifa lakini nchi inakombolewa.
 
Kwa akili yangu haya maandamano ya pili yamekosewa kabisa formation...hivyo itskuwa ngumu kufanikiwa ...formation sahihi ni tofauti na hii wanayo taka kutumia ...🤔🤔🤔 kuna mbinu ya maandamano yenye kutosha sana kuliko hii wanayo taka kutumia
Sasa si.useme hiyo formation yako?
 
Maandamano yanaweza kulindwa na helkopta juu ili asitokee wa kuhujumu raia na mali zao. Waandamanaji wabainishe madai yao na wanamtaka nani ayapokee maandamano yao. Wapi yaanzie na wapi yaishie kisha watu wasambae kurudi walikotoka kwa amani. Wakisema wanataka waishie ikulu au bungeni, au sehemu sensitive kwa nchi itakuwa ni shughuli pevu watakubaliana na vyombo vya ulinzi na usalama kwenda huko wanakotaka kwenda, waridhiane mapema kabla ya siku hiyo ili pasijetokea mauaji ya halaiki nchi ikaaibika kuwa ni ya kishenzi haithamini uhai wa watu wake
Father hatuna muda wa kujadiliana na Police wauaji sisi. Na hatuna mpango wa kupangiwa tunaanzia wapi na kuishia wapi. Kwa Dar uelekeo ni ikulu,bandaging Airport 🛫
 
NI POINT NA MIMI NIMEKUBALI HIVYO NA NIMEELEZA HIVYO ILA INATAKIWA KUFANYA MARA KWA MARA ILI KUFANIKISHA MKWAMO ILA RAIA KUTOKEA INAWEZA WASITOKEE NA INAKUWA RAHISI KUZIDIWA NGUVU NA VIKOSI .....ILA KWA MAANDAMANO YENYE NGUVU YA KUDAI DAMU ZA WATANGANYIKA NA KUIKOMBOA TANGANYIKA LAZIMA NJIA NI HIYO NILIYO ELEZA ...HIVYO MBINU ZOTE ZITUMIKE YAANI MBINU YA KUTISHIA NAYA MASHAMBULIZI KWELI ...HIZI MBINU MBILI KWA PAMOJA ZITALETA USHINDI
Si ndo maana tunasema maandamano yasiyo na kikomo…
 
Nani atakubali kupigwa karantini? People ziliheshim jeshi ambapo zimekuja kujua kuwa jeshi lao limewasaliti so mkund* akitoa amri nyingine watatii vijakazi wake na si raia.

Patachimbika, kama na wao watawalenga waandamanaji kwa risasi ujue risasi zitawaishia kama nilivyoshuhudia polisi kutaitiwa na vijana hadi kukimbia. Lakin kama watatumia fimbo ujue ngoma hadi majogoo
Ikitangazwa Curfew hamna atakayejipendekeza kutoka mzee ule moto sio poa

Nadhani haukuingia barabarani ile Chuma ikimkuta wa karibu yako ikamfumua ubongo wewe hautamani tena kuendelea na safari

Achana na hizo assumptions kuwa risasi zitawaishia kwa SMG tu magazine inakaa risasi 30 hapo wakiamua wawalenge watawadondosha hata watu 20
 
Ishu ya Curfew itatangazwa kuanzia muda gani?, na kama ni maandamano yasiyo na kikomo…hii curfew itaendelea bila kikomo?, na kama watazima internet…je itazimwa bila kikomo?…uchumi wa Tanzania itakuwaje?, Mbaya zaidi hatua yoyote serikali watakayo chukua sasa itavuta attention ya kimataifa kwa mauaji yaliyokwisha tokea, na pengine wakizima internet tena, Dunia itafikiri inataka kufanya mauaji kwa mara nyingine…Hii ishu imekaa kimtego sana..na chelea kusema kuwa Tanzania haitakuwa kma zamani.
 
Kwa akili yangu haya maandamano ya pili yamekosewa kabisa formation...hivyo itskuwa ngumu kufanikiwa ...formation sahihi ni tofauti na hii wanayo taka kutumia ...🤔🤔🤔 kuna mbinu ya maandamano yenye kutosha sana kuliko hii wanayo taka kutumia
Itoe sasa hiyo mbinu
 
Bro acha hiyo kitu ya kuteka attention ya Kimataifa hawana lolote hao na ndo ujinga wanaotumia wale wanaharakati uchwara na msemo wao ule "dunia nzima imeona" sasa dunia ikiona ndiyo nini?

Maandamano yasiyo na Kikomo kwa nchi yetu bado sana na wakiforce tutaanza kugeukana wenyewe kwa wenyewe na kuuana

Hii njia tuliyochagua kupita ina miiba mingi sana tena mikubwa mikubwa na hata tukinyanyua macho yetu hatuoni mwisho wake zaidi ya maumivu makali sana kuzidi
 
Nahisi yafuatayo.

1 Curfew kutangazwa kuanzia tar 8

2 Polisi kusambazwa mitaani toka tar 8, kisha, kuanzia alfajir ya tar 9 kuanza kupiga mabomu ya machoz for no reason ili watu wasitoke ndani
Hiyo namba 2 ndio kosa kubwa wanalofanyakaga polisi na serikali yetu.Kuandamana ni haki kikatiba ili mradi tu upewe kibali na yawe ya amani.
Serikali inapokosea kupita jeshi la polisi ni kuweka vitisho ukipiga bomu la machozi watu walio kimya ni sawa na kuwasha utambi wa baruti
 
Nahisi yafuatayo.

1 Curfew kutangazwa kuanzia tar 8

2 Polisi kusambazwa mitaani toka tar 8, kisha, kuanzia alfajir ya tar 9 kuanza kupiga mabomu ya machoz for no reason ili watu wasitoke ndani
Kuzima intanet
 
Kwa akili yangu haya maandamano ya pili yamekosewa kabisa formation...hivyo itskuwa ngumu kufanikiwa ...formation sahihi ni tofauti na hii wanayo taka kutumia ...🤔🤔🤔 kuna mbinu ya maandamano yenye kutosha sana kuliko hii wanayo taka kutumia
Nyie ndio wakosoaji msiokuwa na solutions!! Eleza hapa maoni yako acha ujuaji
 
Back
Top Bottom