Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
Baadhi ya makosa hayo, ambayo watu wengi sana hapa duniani wanafanya hata leo hii, ni baba fanya ngono na binti yake, ngono kati ya mama na mtoto wakiume, ngono na dada yako, ngono na babu yako, ngono na bibi yako, ngono na mjomba wako, ngono na shangazi yako, ngono na ndugu yako yeyote wa damu....
pia usisahau ngono na wanyama....
makosa haya yote yapo kwenye penal code. kuna kitabu kimoja cha sheria kwa kiswahili, kimeandika pamoja na mambo mengine mengi ikijumuisha sheria za ndoa na mirathi, mambo ya ngono za ndugu na za wanyama. bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI
View attachment 105054
View attachment 105055View attachment 105055