Makosa ya Mtandao: Aliyetaka Mwamunyange apindue nchi ashinda kesi

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Hii ni habari katika magazeti ya siku ya leo.

Kwa waliosahau kuhusu kesi hii: Arusha: Mwanafunzi mbaroni kwa kuwatukana Rais wa Zanzibar, Mkuu wa Majeshi

=====
Hukumu:

image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg
 
Ushahidi haukukamilika..
Kwa hiyo message ni vigumu kukamilisha ushahidi.

Hakuna nchi iliyotajwa katika hiyo message na hata huyo Mwamnyange haeleweki ni Mwamnyange yupi maana hakumtaja hata kwa cheo chake.Hata walioko nje hakuwataja kwa majina wala vyeo vyao na hata kiti kilichokuwa wazi pia hakikufafanuliwa ni kiti gani katika hiyo message.
 
Back
Top Bottom