:focus:Jamaa wawili walikuwa wanacheza karata porini. Mara wakapita wakulima, wakasikia sauti inasema, "Weka jembe chini. Wakaweka majembe yao chini. "Weka kisu, wakaweka visu chini.. " naomba kopa, wakaangaliana hawana kopa.. "Weka mavi chini, ikabidi mmoja wao anye palepale. Mara wakasikia "Kama huna mavi lamba, ikabidi yule ambaye hajanya alambe ya mwenzake.... Mara wakackia " GAME OVER". Wakashtuka kumbe kuna watu walkuwa wanacheza karata!!..............hahahaaaaaaaaaaaaaaha
:focus:
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih eeeeheeh duuuuuh. Mkuu umeniacha hoi... Mbavu zangu mie!
Swali hawa ndo wabunge walikuwa wakulima au wacheza karata?
Kama ni wabunge basi watakuwa wa chama kinachoanzia na c na kuishia na m eeeh?
:yo: