Makosa ya Kiswahili Katika Baadhi ya Wabunge

ludoking

Senior Member
Oct 5, 2008
124
71
Jamaa wawili walikuwa wanacheza karata porini. Mara wakapita wakulima, wakasikia sauti inasema, "Weka jembe chini. Wakaweka majembe yao chini. "Weka kisu, wakaweka visu chini.. " naomba kopa, wakaangaliana hawana kopa.. "Weka mavi chini, ikabidi mmoja wao anye palepale. Mara wakasikia "Kama huna mavi lamba, ikabidi yule ambaye hajanya alambe ya mwenzake.... Mara wakackia " GAME OVER". Wakashtuka kumbe kuna watu walkuwa wanacheza karata!!..............hahahaaaaaaaaaaaaaaha
 
:focus:
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih eeeeheeh Duuuuuh. Mkuu umeniacha hoi... Mbavu zangu mie!
Swali hawa ndo wabunge walikuwa wakulima au wacheza karata?
Kama ni wabunge basi watakuwa wa chama kinachoanzia na C na Kuishia na M eeeh?
:yo:
 
ludoking, mkuu umenimaliza kwisha! Sasa hao wabunge walikuwa wanachezea kamari au? Maana mpaka wamejificha porini kuna jambo. Ona sasa, maskini jamaa wa watu!
 
Last edited by a moderator:
:focus:
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiih eeeeheeh duuuuuh. Mkuu umeniacha hoi... Mbavu zangu mie!
Swali hawa ndo wabunge walikuwa wakulima au wacheza karata?
Kama ni wabunge basi watakuwa wa chama kinachoanzia na c na kuishia na m eeeh?
:yo:

katika hivi unakikusudia kipi? cdm & ccm
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom