Slowly watu wanaanza kuelewa. Lowassa hafiki kokote. The force against him is just so huge. And people that oppose Lowassa wamemzidi kwa kila kitu, kuanzia uzoefu,influence hadi weledi wa uongozi. Kinachomjaza kifua lowassa ni pesa za "marafiki" zake exiles wa CCM, rostam, chenge na karamagi. yani huyu mzee akili sijui kapeleka wapi. Nadhani anaomba wagombea wote wapigfwe radi labda ndio watampitisha huyu CCM.
Hebu tazama safu ya mawaziri wakuu walio mzidi Lowasa Kiuzoefu, kuna PINDA,SUMAYE. ukija Mawaziri waandamizi waliomzidi utumishi wa muda mrefu kuna Mwanzosya, Wassira. Ukija Diplomasia kuna Mahiga, Amina na Membe, Ukija Kete ya Ujana ni Mwigulu, January na Nyarandu. Uadilifu Kuna Makongoro, Mahiga, Mwandosya washakaba kona.Ukija Kete ya kina mama ni Malecela lady, Amina .., Sasa sioni Lowassa atapenyea CC kwa kigezo kipi. Yani he is trailing on every single important criteria. Hata CCM wakiamua kumpa outside consultant awachagulie mgombea kisayansi Lowassa hata 7 bora kuingia mtihani.Njia pekee ya Lowassa kupenya ni kama CCM wakiingiwa na uchizi.
Labda walete Kigezo cha Mgombea mwenye matumaini mengi zaidi..,na anayetia huruma kuliko wote. otherwise Lowassa kupita CC itakuwa maajabu ya karne na Sherehe nzito UKAWA. kwani 2015 watachukua nchi kiulaini kabisa.