Makosa ya Edward Lowassa ni yapi ndani ya CCM?

Makosa ya Edward Lowassa ni yapi ndani ya CCM?

unapozungumzia ufisadi wa lowassa unatakiwa uweke bayana ni shilingi ambazo amechukua na ushaidi wake na ukumbuke kamati ya mwakyembe hajawai kuweka ushahidi wowote zaidi ya kutumika kisiasa tu

Mpigie simu Nyerere atakueleza ufisadi wa Lowasa hata kabla ya ule wa Richmond.
 
Lowassa = Mavi (Kinyesi) Ikishindikana tutamnyang'anya haki yake ya kuishi. Yeye ana hela sisi tuna Bunduki, risasi na watu. Tutaona maana tumechoka kuibiwa. Anang'ang'ania kuzimu.

you are not serious
 
Kosa la Lowassa CCM ni kuwa mwizi hodari kushinda wezi wenzie. Yani katika viongozi wooooooooooote duniani wa kuonesha wanakupa sapoti unamuweka JK???!!kweli TeamLowassa Mmeishiwa. Huyu JK aliyemtimua Tibaijuka in split seconds baada yakuona upepo umebadilika Daimondi jubilei?au JK mwengine?

Huyu JK anayeruka watu kila kukicha?

Inafahamika JK alifanya makosa 2010, may be kwa hofu ya kutokualienate vote base, na kumbuka Dr.Slaa wa 2010 alikuwa moto kweli kweli. Zile ni siasa.

Msimamo wa JK kuhusu Lowassa unapatikana kwenye vitendo vyake. Kila mwenye Uhusiano na Lowassa amekuwa sidelined CCM na wale waliompinga waziwazi wamepata presidential appointments in record time.

Kwenye Siasa miaka mi 5 ni sawa na miaka 100, kumbuka mwaka 2010, Zitto alikuwa Kamanda CHADEMA na Putin alikuwa anacheza golf na Obama.

kweli things are falling apart kwenye kambi yenu
 
Ndiyo huyu huyu ambae baada ya tukio hili kikafuata kikao cha halmashauri kuu wakati huo huyu Makongoro alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa mara alimlima Kikwete kwenye kikao kwa kusema Mwenyekiti ulipoenda Monduli na Kumnyenua mkono bwana Edward kijiweni kwetu walisema siyoooooo. Lowasa kusikia hivyo akatulia kama kawaida yake. Uchaguzi uliofuata Makongoro kapigwa chini kama alivyopigwa chini Sumaye. Ni Lowasa huyo huyo.
 
kwa hiyo usipompigia kura na akashinda ndio hatakuwa rais

ni hivi , kuna tetesi kwamba jina lake halitakuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura , sasa hizo kura unazotaka kumpigia ni za maruhani ?
 
Hayo ni mawazo ya binadamu asiyefikiri.... Jaribu kutumia akili Mkuu...

Mtu hana akili kwa sababu anasema ukweli juu ya mwizi Lowassa. Tupa kule msituletee majizi ktk Ikulu ya Magogoni. Aende akachunge ng'ombe wake wasiopungua wala kuongezeka. Miaka nenda miaka rudi akiulizwa juu ya mali zake jibu nina ng'ombe kati ya 800 -1000. Ogopa mtu mwongo na mwizi. Baba huyu na mvi zake mwizi tu. Haoni haya kuiba. Na watu wamekuwa vipofu hawaoni kama ni mwongo na mwizi kwa kuwa wanajazwa pesa. Baba huyu mwongo hata ktk kukana kabila lake la kimeru na kusema yeye ni mmasai. Oktoba hii tukipata rais mwadilifu kwanza ashughulike na mtandao wa mafisadi member mkuu huyu mmeru mwizi wa mali za Taifa.
 
Mtu hana akili kwa sababu anasema ukweli juu ya mwizi Lowassa. Tupa kule msituletee majizi ktk Ikulu ya Magogoni. Aende akachunge ng'ombe wake wasiopungua wala kuongezeka. Miaka nenda miaka rudi akiulizwa juu ya mali zake jibu nina ng'ombe kati ya 800 -1000. Ogopa mtu mwongo na mwizi. Baba huyu na mvi zake mwizi tu. Haoni haya kuiba. Na watu wamekuwa vipofu hawaoni kama ni mwongo na mwizi kwa kuwa wanajazwa pesa. Baba huyu mwongo hata ktk kukana kabila lake la kimeru na kusema yeye ni mmasai. Oktoba hii tukipata rais mwadilifu kwanza ashughulike na mtandao wa mafisadi member mkuu huyu mmeru mwizi wa mali za Taifa.

Ha! Ha! Haaaaa!!!!! mkuu ungekuwa karibu ningekupiga na viji heineken vitano .
 
Kosa la Lowasa ni kwa sababu inawezekana hataendeleza na kutekeleza azimio la Abuja. Hilo ni kosa kwa hiyo wenye mikakati ya kuhakikisha azimio la Abuja linatekelezeka wangependa wapate rais rubber stamp ambaye atakuwa twisted the way they like. Lakni wanajua EL cant be twisted to suit their wishes!
 
Mtakuja na kila aina ya mapambio, lakini haosheki hata kwa Dodoki la Steel wire
Mkuu;

Kwani huyu Lowassa anatakiwa kuoshwa na nani tena wakati viongozi wake wakuu wa CCM walishatueleza ni mmoja wa viongozi ndani ya CCM waliotekeleza kikamilifu ilani ya CCM. Kwa lugha nyingine, Lowassa ameishatekeleza mkataba wa CCM kikamilifu.

Ilani ya CCM ya uchaguzi ndiyo mkataba kati ya CCM na Watanzania.
 
Ukiwa mwanaccm ni lazima uwe mwehu kwa kiasi fulani endapo utampinga lowasa..... Nasema hivyo kwa sababu mfumo wa ccm haumuwezeshi mtu kuwa huru endapo anahitaji kugombea nafasi yoyote ya uongozi..... Ukitaka uwe huru ni lazima ukubali shutuma nyingi....
Mkuu;

Ninapingana na wewe.

Siamini kama wanaCCM wote ni wehu. Ndiyo maana tunasikia kuna wanaCCM maslahi na wanaCCM imani.

Sijaelewa una maana gani unaposema mfumo wa CCM hautoi uhuru kwa wagombea wake.
 
nADHANI MAKOSA YA eDWARD LOWASA NI UTENDAJI WAKE ULIOTUKUKA

ccm imekuwa ikijibeba na itikadi yake ya uwizi, ahadi hewa, utekelezaji mbovu wa ilani, but only Lowasa anasimama kinyume na hiyo kitu

sasa viongozi wenzie ndani ya ccm ambao wamezoea ubwanyenye wanatokea kumchukia.
Mkuu;

Kwa nini Lowassa asitoke na kuwaachia CCM yenye itikadi ya wizi, ahadi hewa na utekelezaji mbovu wa Ilani ya Uchaguzi.
 
Huo ufisadi wake ni upi? Naomba kueleweshwa maana sijaona hatua yeyote kwa aliyetoa tuhuma na kuzifikisha mahakamani,,jamani mjue kutofautisha kati ya chuki za kisiasa na mambo muhimu mie naona lowasa ndo kiongozi anayetufaa watanzania wala hakuna mwingine,,nasema hivyo sio kwa kufuata mkumbo bali Nimeona utendaji wa mh akiwa madarakani
Mkuu;

Kwani wakati akiwa madarakani utendaji wake ulikuwa vipi?

Mbona hata sasa bado ana madaraka?. Mbunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje.
 
Back
Top Bottom