Makosa ya Edward Lowassa ni yapi ndani ya CCM?

Makosa ya Edward Lowassa ni yapi ndani ya CCM?

Baadhi yetu tulisema tangu mwanzo na hivyo ndivyo itakavyokua: Lowassa won't make it. Kwamba ana pesa nyingi, ana ushawishi wa kukusanya watu wengi mikutanoni ... it doesn't matter. CCM wakiamua kuwachinjia wanachama wake baharini kwasababu wanazozijua wao, hakujawahi kuwepo kitu cha kuwazuia kufanya hivyo. They have always been successful in silencing people they don't want to represent them in leadership positions. Mmesahau yaliyowakuta wakina Kolimba, Dr. Salim, Malecela etc? Lowassa is no exception. They don't want him, he's gonna go! Ieleweke kwamba CCM ina wanachama wengi, ila kimaamuzi makubwa ni ya wachache sana.
 
Slowly watu wanaanza kuelewa. Lowassa hafiki kokote. The force against him is just so huge. And people that oppose Lowassa wamemzidi kwa kila kitu, kuanzia uzoefu,influence hadi weledi wa uongozi. Kinachomjaza kifua lowassa ni pesa za "marafiki" zake exiles wa CCM, rostam, chenge na karamagi. yani huyu mzee akili sijui kapeleka wapi. Nadhani anaomba wagombea wote wapigfwe radi labda ndio watampitisha huyu CCM.

Hebu tazama safu ya mawaziri wakuu walio mzidi Lowasa Kiuzoefu, kuna PINDA,SUMAYE. ukija Mawaziri waandamizi waliomzidi utumishi wa muda mrefu kuna Mwanzosya, Wassira. Ukija Diplomasia kuna Mahiga, Amina na Membe, Ukija Kete ya Ujana ni Mwigulu, January na Nyarandu. Uadilifu Kuna Makongoro, Mahiga, Mwandosya washakaba kona.Ukija Kete ya kina mama ni Malecela lady, Amina .., Sasa sioni Lowassa atapenyea CC kwa kigezo kipi. Yani he is trailing on every single important criteria. Hata CCM wakiamua kumpa outside consultant awachagulie mgombea kisayansi Lowassa hata 7 bora kuingia mtihani.Njia pekee ya Lowassa kupenya ni kama CCM wakiingiwa na uchizi.

Labda walete Kigezo cha Mgombea mwenye matumaini mengi zaidi..,na anayetia huruma kuliko wote. otherwise Lowassa kupita CC itakuwa maajabu ya karne na Sherehe nzito UKAWA. kwani 2015 watachukua nchi kiulaini kabisa.
 
Kweli anauchukia umasikini kwa vitendo
Mkuu;

Sidhani kama kuna mtu asiyechukia umasikini hapa dunia labda kama huyo mtu hafahamu kama yeye ni masikini.

Sijaona upya na umuhimu wa hoja ya kusema anachukia umasikini katika karne hii inayoifanya dunia kuwa kama ni kijiji.

Hoja ya msingi ilikuwa ni kutuambia ana mipango gani ya kuuondoa umasikini anaouchukia.

Kuchukia umasikini ni kitu kimoja, njia ya kuundoa umasikini ni kitu kingine ambacho ni kigumu kukifanikisha.
 
Kosa la Lowassa CCM ni kuwa mwizi hodari kushinda wezi wenzie. Yani katika viongozi wooooooooooote duniani wa kuonesha wanakupa sapoti unamuweka JK???!!kweli TeamLowassa Mmeishiwa. Huyu JK aliyemtimua Tibaijuka in split seconds baada yakuona upepo umebadilika Daimondi jubilei?au JK mwengine?

Huyu JK anayeruka watu kila kukicha?

Inafahamika JK alifanya makosa 2010, may be kwa hofu ya kutokualienate vote base, na kumbuka Dr.Slaa wa 2010 alikuwa moto kweli kweli. Zile ni siasa.

Msimamo wa JK kuhusu Lowassa unapatikana kwenye vitendo vyake. Kila mwenye Uhusiano na Lowassa amekuwa sidelined CCM na wale waliompinga waziwazi wamepata presidential appointments in record time.

Kwenye Siasa miaka mi 5 ni sawa na miaka 100, kumbuka mwaka 2010, Zitto alikuwa Kamanda CHADEMA na Putin alikuwa anacheza golf na Obama.

kweli things are falling apart kwenye kambi yenu
Mkuu;

Naomba nikuweke sawa!

Mimi sina mgombea yoyote katika mchakato wa CCM unaoendelea.

Ninachokiandika katika jukwaa hili ni mtazamo na fikra zangu kadri ninavyoona inafaa bila kujali athari kwa kundi fulani.

Ni kweli katika siasa, wiki moja ni mbali sana na kutokana na mantiki hii, ndiyo maana nikataka kufahamu kwa sasa makosa ya Edward Lowassa kwa sababu ni wiki kadhaa zimepita baada ya kusikia Katibu Mkuu wa CCM akitoa shukrani na sifa kwa Lowassa kutokana na utendaji wake.

Labda uniambie kile alichokuwa anakisema Kinana mkoani Arusha kuhusu Lowassa ni unafiki. Hata hivyo, tunaambiwa Kinana siyo mnafiki!
 
Kimweri huko ni mtizamo wako na ndiyo uonavyo mambo. Lakini haya uyasemayo pia yanaweza kuwa positive 100% number line kwa EL. Also wewe msimamo wako Wa kisiasa ni anti-CCM na furaha yako nikuwaona wamesambaratika ili CDM wapite kiulaini.

CCM si wajinga kiasi hicho. Haya yazungumzieni kwenye majukwaa yenu huko mliko. Ya CCM tuachieni wanaCCM tuyamalize wenyewe.

Kimweri Nakuru ham in is his tarehe 12.7.2015 turudia uimara wetu Wa 2005.
 
Mkuu;

Sidhani kama kuna mtu asiyechukia umasikini hapa dunia labda kama huyo mtu hafahamu kama yeye ni masikini.

Sijaona upya na umuhimu wa hoja ya kusema anachukia umasikini katika karne hii inayoifanya dunia kuwa kama ni kijiji.

Hoja ya msingi ilikuwa ni kutuambia ana mipango gani ya kuuondoa umasikini anaouchukia.

Kuchukia umasikini ni kitu kimoja, njia ya kuundoa umasikini ni kitu kingine ambacho ni kigumu kukifanikisha.

Hapa hafanyi kampeni ametaja vipaumbele tu. Kwa hivyo muda ukifika mikakati yote itawekwa bayana.
 
Lowassa = Mavi (Kinyesi) Ikishindikana tutamnyang'anya haki yake ya kuishi. Yeye ana hela sisi tuna Bunduki, risasi na watu. Tutaona maana tumechoka kuibiwa. Anang'ang'ania kuzimu.

Nditolo utakuja kujutia matamshi yako. Nahisi hapa uliandika baada ya kunywa gongo as usual. Be careful with life threatening words, they may land you on thorny bushes that you will live to regret. Its only God that has the powers to take away someone's life. Neither Nditolo nor his cronies could dare do this.

Hapa sheria ya makosa ya mitandaoni inaweza kutumika kubaini hili genge la Nditolo.
 
Hapa hafanyi kampeni ametaja vipaumbele tu. Kwa hivyo muda ukifika mikakati yote itawekwa bayana.
Mkuu;
Mimi nilidhani wagombea kupitia vyama ni kama gari tu la kubebea Ilani ya Uchaguzi ya chama wakati dereva ni chama kilichowateua kuwa wagombea!
 
Ng'wamapalala

Usihoji Makosa ya Lowasa ndani ya CCM hoji makosa ya Lowasa ndani na nje ya CCM na zaidi sana makosa yake Mbele za Mungu ambaye atahukumu roho yangu , ya kwako na ya mtu yoyote yule akiwemo Lowasa
 
Last edited by a moderator:
Slowly watu wanaanza kuelewa. Lowassa hafiki kokote. The force against him is just so huge. And people that oppose Lowassa wamemzidi kwa kila kitu, kuanzia uzoefu,influence hadi weledi wa uongozi. Kinachomjaza kifua lowassa ni pesa za "marafiki" zake exiles wa CCM, rostam, chenge na karamagi. yani huyu mzee akili sijui kapeleka wapi. Nadhani anaomba wagombea wote wapigfwe radi labda ndio watampitisha huyu CCM.

Hebu tazama safu ya mawaziri wakuu walio mzidi Lowasa Kiuzoefu, kuna PINDA,SUMAYE. ukija Mawaziri waandamizi waliomzidi utumishi wa muda mrefu kuna Mwanzosya, Wassira. Ukija Diplomasia kuna Mahiga, Amina na Membe, Ukija Kete ya Ujana ni Mwigulu, January na Nyarandu. Uadilifu Kuna Makongoro, Mahiga, Mwandosya washakaba kona.Ukija Kete ya kina mama ni Malecela lady, Amina .., Sasa sioni Lowassa atapenyea CC kwa kigezo kipi. Yani he is trailing on every single important criteria. Hata CCM wakiamua kumpa outside consultant awachagulie mgombea kisayansi Lowassa hata 7 bora kuingia mtihani.Njia pekee ya Lowassa kupenya ni kama CCM wakiingiwa na uchizi.

Labda walete Kigezo cha Mgombea mwenye matumaini mengi zaidi..,na anayetia huruma kuliko wote. otherwise Lowassa kupita CC itakuwa maajabu ya karne na Sherehe nzito UKAWA. kwani 2015 watachukua nchi kiulaini kabisa.

Kipindi hiki ukiwaleta Kina pinda unapaswa pia kutumia nguvu ya dola kwa kiwango kikubwa sana ili ashinde sasa unaweza kusababisha machafuko makubwa sana yasiyoisha kirais watu wana hasira na matabaka ya wenye nacho na wasionacho
 
misemo ya kimajungu isiyo na mantiki....yesu kristo alisema hakuja kuwatafuta watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu...unataka kusema Yesu kristo kwa kuwaita wenye dhambi na yeye alikuwa muovu??!!

lowasa sio Yesu Kristo lowasa ni jambazi sugu na fisadi papa....Yesu alisema kipofu akimuongoza kipofu mwenzake wote watatumbukia shimoni....CHANGANYA NA ZAKO KAKA/DADA
 
Ng'wamapalala

Usihoji Makosa ya Lowasa ndani ya CCM hoji makosa ya Lowasa ndani na nje ya CCM na zaidi sana makosa yake Mbele za Mungu ambaye atahukumu roho yangu , ya kwako na ya mtu yoyote yule akiwemo Lowasa
Mkuu KING COBRA

Sikutaka kuhoji makosa ya Lowassa nje ya CCM kwa sababu mchakato wa kupata Rais wa Tanzania haujatoka nje ya CCM.

CCM wakituletea mgombea wao ndiyo tutaanza kuhoji makosa yake nje ya CCM.

Nimefanya hivyo kwa makusudi ya msingi wa mchakato ndani ya CCM.
 
Kipindi hiki ukiwaleta Kina pinda unapaswa pia kutumia nguvu ya dola kwa kiwango kikubwa sana ili ashinde sasa unaweza kusababisha machafuko makubwa sana yasiyoisha kirais watu wana hasira na matabaka ya wenye nacho na wasionacho
Mimi nilishawahi kusema, haijawahi kutokea nchini kuwa na Waziri Mkuu laissez-faire/dull kama Mizengo Pinda.

Nilishawahi kuleta thread hii;
 
Kule site wanasema hapana.

Kwani huyu Edward Lowassa siyo yule Edward Lowassa wa mwaka 2010 ambaye Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Rais Kikwete aliushika mkono wake na kuunyanyua juu kuwaomba wapiga kura wa Jimbo la Monduli ili wamchague kuwa Mbunge wao huku akisema, ‘’hakuna mwakilishi mzuri nchini kushinda Edward Ngoyai Lowassa’’.
monduli11.jpg

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Monduli mkoani Arusha, Edward Lowasa, kwa wapiga kura wa jimbo hilo wakati wa mkutano wa kampeni 2010.
60.jpg

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akiwa na Edward Lowassa wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Arusha.

Kwani siyo huyu Edward Lowassa ambaye Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Rais Kikwete aliwahi kusema kilichompata Edward Lowassa katika sakata la Richmond Development Company LLC ni ajali ya kisiasa, kwa maana nyingine, alijikwaa kisiasa na anaweza kusimama na kuendelea na safari yake ya kisiasa.

Hivi hawa baadhi ya viongozi wa CCM wanataka kutueleza Edward Lowassa wa leo ni tofauti na yule wa 2012 ambaye jina lake lilikidhi vigezo vyote na kupitiswa na vikao vikuu vya CCM kuwa mgombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa ili kupambana na Dr. Salash Mokosyo Toure na Nanai Taon Konina ambapo aliwashinda kwa kura nyingi.

Kwani siyo huyu Edward Lowassa ambaye Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amemmwagia sifa wakati wa ziara yake mkoani Arusha na kusema ni miongoni mwa viongozi waliotekeleza kikamilifu ilani ya chama hicho.

IMG_0751.JPG

Ni Edward Lowassa yupi ambaye baadhi ya viongozi wa CCM wanataka kutuaminisha kwa sasa kama jina lake linaweza kukatwa na Kamati Kuu kutokana na mapungufu kwenye vigezo 13 vya kuwachuja watia NIA wa nafasi ya Urais Tanzania kama ilivyotangazwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula.

Kiongozi yupi wa CCM mwenye uwezo wa kumvika paka kengele?
 
Mkuu;
Majungu yao ni yapi hayo?[/QUOTE
]
Ni vigumu kukuelewesha kuhusu majungu yao maana wewe upeo wako kama wa konokono,kama kweli unauliza ni majungu gani kama vile hufuatilii siasa za tanzania basi kazi ipo kubwa kukuelimisha,anyway kafute ujinga ukirudi utajua tu.
 
Wadau tukumbushane mchango Wa Lowassa katika mjadala Wa Katiba pendekezwa iliyoleta mvutano mkubwa ndani ya bunge na nje ya bunge,...
Lowassa alisimamia wapi kihoja aliwahi kutetea au kupinga hoja yoyote katika bunge la katiba. .? binafsi sijawahi kumuona akiunga au kupinga chochote namuona aidha hakuwa na uwezo Wa kujenga hoja na kuisimamia au aliidharau KATIBA pendekezwa
kwa kuiona haina maana kwake... ni kiongozi anayeficha mambo makubwa akiwa mtawala hatutajua ataiendeshaje nchi ikiwa msimamo wake kuhusu katiba hauko bayana..
 
Back
Top Bottom