Mtaishia kufungua manyuzi ya kipumbavu kusema mmeshinda au mmeitaarifu dunia. Lakini nia yenu ni kuvuruga na kuiba wakati wa maandamano.
Wapumbavu wakubwa mahayawani nyinyi mmedhibitiwa na vyombo vya dola.
Emdeleeni kukisikikiza nankukitajirisha hiki kimalalaya MangeKimambi
View attachment 3513750
Hakuna pambano lilipotezwa serikal ndio imepata hasara mara ya pili unafikir askar wote wale walilipwa posho sh ngap kuanzia tarehe 1 mpaka 9 na bado wapo na mapato kias gan imekosa mpasuko uko kias gan ndan ya serikal watu hawajapoteza ila mchakato unaendelea uhuru wa tz ulipiganiwa tangu 1930 mpaka 61 miaka zaid ya 30 huu ni mwanzo
Hapo mleta mada kachemka. Marengo ya mo29 wewe unayajua kuwa ni kupinga uchaguzi, na ndio tukio kuu la siku hiyo. Mengine yapo ila ilo ndio kuuKumbe mnakiri kuwa MO29 mlidhamiria uhuni na kuchomachoma ?
Sasa kama kubomoa ni kujenga upya, ngoja tujenge.kubomoa ni njia bora ya kujenga najua hii inawaumiza sana nyinyi haina faida kwenu ila kuanza upya sio ujinga heri kubomoa na kujenga upya
Kwanza usiniingize kwenye siasa, hainihusu. Hapa tunazungumzia maandamano na matokeo yake. Ikitokea ni kweli waliopachika mabango wameharibu, jee waliofanya uharibifu wa kuyaunguza mabasi na kuiba?vituo vya mwendokas ni vya wote lakin mmejimilikisha kua ni vyenu hata mabango ya kampen mmeruhusiwa nyinyi tu mmvichafue wengine haqaruhusiw kubandika
Wanaposema ni chetu ni kwa maana ya wananchi ikitokea nawe ni Mtanzania! Wala hawajasema ni chao kwa maana ya kumiliki binafsi. Hili ulitambue.haya ni moja ya mambo yanayotia hasira wananch na kuamua kubomoa kile mnachohis ni chenu il kijwenge upya kiwe chetu sote
Ndio ninavyoombea. Huenda haitokusaidia wewe ambaye si Mtanzania, utakuwa kwenu wakati huo.hiyo kuchoma choma unayiponda wewe itakuja kukusaidia wew mwenyewe maana serikal yako dhalimu imetenga wizara maalumu ya vijana
Ni habari njema kwamba vijana wamepata akili ya kutumia ustaarabu. Hii iwe ni funzo kwa siku za mbele.serikal yako dhalimu imetenga wizara maalumu ya vijana imetenga bilion 200 kwa vijana na inawabembeleza vijana wakae wasikilizwe tofaut na maandamano ya mo 29
Lengo pekee la maandamano ya d9 lililo takiwa kuwepo ni kuxuia shughuli za uchumi mengine yote yangekuwa magumu .....Poleni na uchovu wa lockdown japo ya siku moja lakini sio utamaduni wetu so inatukera.
Mo 29 ilifanikiwa kwa ukubwa kwa sababu kuu kadhaa
Moja ilikuwa siku ya tukio la kitaifa lisilotaka watu wakae ndani lazima mtoke mkapige kura na hawawezi kuzuia mpaka muda wa kura upite ndio maana saa 12 jioni ikatangazwa hali ya kukaa ndani
Pili maazimio yale yaliwekwa wazi ilikuwa ni choma choma day na kuingia barabaran hii ilifanikiwa kwa asilimia mia
Tatu accesibility yake ilitaka waandamaji watoke ndani waende barabarani wachome matairi na kupanga mawe na magogo hivyo ikapata watu wengi maana barabara imepita kila mahali
Watu waliweza kukaa barabarani saa 6 mpaka saa 10 sababu ni karibu na makwao.
Makosa ya d9 ilikuwa ni kuwaambia watu waandamane kwa amani hakuna haki inayodaiwa kwa maandamano ya amani maandaman ya amani ni kwa ajili ya makongamano ya kanisa au msikitini tu ndio d9 ilipita kama haipp sababu ya kutaka Samia atoke kwa amani
Kosa lingine kuweka meeting poin kwamba watu woteee tukutane un hili kosa kubwa ambapo kuzuiwa kwake ni rahis kublock njia tu ndio kilichofanyika watu walitoka lakin hawakuqeza kufika un sababu ya vikwazo njian ili ufike un lazima upite uchochorin sasa mtu anatoka tegeta mpaka ofisi za un ni ngumu
Kosa lingine maandamano ya d9 ni kutokua na malengo hayakua na agemda hilo ndio kosa mo 29 agenda ilikua choma choma
Wananch wamefanya kila kitu kwa asilimia mia na bado wana nia wana roho ngumu hawakati tamaa maana wao wanachofanya ni kufuata maagizo sasa hio j12 sijui agenda ni nini
Maandamano yamefanikiwa kwa asilimia mia ukitaka kujua mafanikoo ya maandamano ni kuangalia malengo ya maandamano ni nini malengo ya m029 ni kuharibu mandamano ya d9 ni kuonesha dunia kua watanzania ni wapole na wastaarbu sio wakorofi wakifanya fujo wewe mtawala ndio mkorofi yaan ni ujumbe watu wanapenda aman hiyo ndio lilikua lengo la d9 na kubwa kukumbushia kila wanachokitaka cha samia aondoke
Shughul imeshaisha mo 29 kilichobak sasa ni kukumbushia tu ile kama hatua zisipochukuliwa inakuja kubwa zaid ya mo 29 haya yote ni mazoez na uzoefu watu wanaukusanya
Watu gani wakiamua?? Yaani una pumbu mbili lakini unashikiwa akili na haka kamalaya:-Hiyo mpango mgumu kwa polis sababu hawawez kuzuia watu wasitoke siku ya siku kuu
Vyombo vya dola vinashukuru na kuheshimu busara za unaowaita wapumbavu siku watu wakiamua hakuna wa kuzuia mnalinda barabran watu wanavamia na kuua familia yako usishindane na nguvu ya uma iheshimu ndio maana matamsh ya ubabe hayapo kabisa wakat huu m029 imeleta heshima husikii tena nyodo na dharau za ccm
Nan ashikiliwe akili nimeandamana kwa kutekwa kwa wiz wa fedha za uma nimeandamana kwa tume isiyokua huru sio kushikwa akil na yoyoteWatu gani wakiamua?? Yaani una pumbu mbili lakini unashikiwa akili na haka kamalaya:-
View attachment 3513860 Rudisha makende kwa wanaume
Kama wewe unavyo msikiliza Mchepuko wa JK aliyepo jumba jeupe.Mtaishia kufungua manyuzi ya kipumbavu kusema mmeshinda au mmeitaarifu dunia. Lakini nia yenu ni kuvuruga na kuiba wakati wa maandamano.
Wapumbavu wakubwa mahayawani nyinyi mmedhibitiwa na vyombo vya dola.
Emdeleeni kukisikikiza nankukitajirisha hiki kimalalaya MangeKimambi
View attachment 3513750
Uliandamana au ulikwenda kuiba maduka ya watu??Nan ashikiliwe akili nimeandamana kwa kutekwa kwa wiz wa fedha za uma nimeandamana kwa tume isiyokua huru sio kushikwa akil na yoyote