#2 inanikera sana tu, wadada nao wamekuwa wachafu tu hamna lolote.
#3 nilidhani ipo zaidi kwa wadada, akitafuta nguo ya kuendea fuction/party utachoka, hadi unakereka..kabati litaparaganywa, nguo zote kwa kitanda..mara ajaribu ile, avue na kuvaa nyingine...agrrrr.
#9 ndio usiseme, hata hamjui order ya vyumba nyie, mwajua kuosha kucha na kuzipaka rangi, siku hizi na nyie mwafunga taulo hadi twajiuliza hivi ile ni nyeupe ama kahawia...
Siku hizi wala ME na KE hazina tofauti sana katika swala la usafi wa mwili na mazingira...