Makosa wafanyayo wanawake kwenye ndoa: Kujigeuza kuwa mama wa mumeo

This is very personal experience!!!!! Please personalize it .... sijaona wanawake wengi wanaokaripia saaaana kwa kweli.... Mke wangu wakati mwingine akichukia pengine anaweza karipia ila uishia kusema samahani.

Hongera zako, kuna wanawake wanakalipia waume zao yani hadi kukaa nao unajisikia vibaya
 
Nadhani sio swala la kuwa na mama zake, swala ni kujadili mada. Hata kama mama yake na dada zake wapo wenye mkumbo huo hamzuii asiseme. Kwa namna nyingine, ukianzissha thread inayozungumzia ukatiki wa wanaume na baba yake ni mkatili, utashangaa na yeye anachangia.

baelezee baelezee baelewe
 
Yani kuanza kumfokea mtu mzima eti kwa nini kachelewa ni kujipa adhabu tu, kwani ye hajui kama kachelewa? akichelewa fungua mlango msalimie vizuri mpe msosi kama kalewa amka alfajiri sana mpikie supu.....maisha yanakua rahisi sana

Sijui kama unayafanya haya. kama ni kweli basi raha tupu maana wengine presha zinataka kutuua kila siku appointment hospital
 
Sijui kama unayafanya haya. kama ni kweli basi raha tupu maana wengine presha zinataka kutuua kila siku appointment hospital

Nimejifunza na nimeweza kufanya, make nlikuaga nakaa kama mlinzi, natoa macho, napika sili namsubiri baby aje tule, kila sekunde nacheki saa.....chaaaa sasa sita inagonga hamu ya kula inaisha nkajiona katika maboya mie mwenyekiti wao,nshaacha hizo biashara sahv napika nakula nalala nakoroma zangu maisha matamu tunayakoseaga tu wenyewe
 
Kweli, kupotezea ni jambo ninaloona linasaidia katika hali kama hiyo. Take your time and meet with her/him on an importanta issue sometimes we could spare our lives
 
Kweli, kupotezea ni jambo ninaloona linasaidia katika hali kama hiyo. Take your time and meet with her/him on an importanta issue sometimes we could spare our lives

Linasaidia si kidogo, hata mchelewaji mwenyewe anaanza kuwahi kurudi ha ha ha
 
This is very personal experience!!!!! Please personalize it .... sijaona wanawake wengi wanaokaripia saaaana kwa kweli.... Mke wangu wakati mwingine akichukia pengine anaweza karipia ila uishia kusema samahani.

You should consider yourself very luck!
Hata mitaani tu tunapoishi hayo mambo yapo sana tu.
 
Upole ukapelekea hata mitoko ikapungua kisha akaja na swali eti kwanini siku hizi hatutoki kama zamani,wakati huo naogopa kufokewa hata huko kwenye mtoko maana ndani ni kama redio ,kiukweli jaribuni kubadilika.
 
aisee mi nakukata fasta yani hata sifikiri mara mbili.....nilishaapa kiumbe chochote kitachonisumbua dunia hii except wazazi wangu ni kukupa kisogo tu hata kama nakupenda kiasi gani sio cha mke,mtoto,wala ndugu ukinizingua tu......nakudelete 4reva yani....life is too short to live kwa stress
 
Na siku ukiwahi kurudi utasikia leo kasafiri umerudi mapema, maana huwa unafika hapa nyumbani sikuelewi sijui unakuwa umenuna au ndo pozi la hapa ndani,anashinwa kujitambua makosa yake ,da ni shida flani hivi,,,,,,,,,,,,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom