SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 510
- 1,402
Wazungu moja ya sehemu walio fanikiwa ni kwenye kutafuta pair, sisemi kwamba hawana changanoto kwenye ndoa ila atlest huwa wana minimize sana.
Wazungu huwa wakitafuta Pair huwa wanaweka wasi vigezo na wanatafutana wanao fanana kwenye vigezo hivyo, Mfano;
Hapa unakuta wanakutana wanao fanana, ndo maana hata kwenye viwanja vya mpira ni kawaida Ulaya kukuta mke na mme wako uwanjani wakishangilia timu yao, utawakuta wanaenda wote kutazama move mpya, wanaenda bech wote, wanapenda wanayama wote kama Mbwa au paka. Sisi ni kawaida kukuta Mke hapendi kabisa mbwa na ukisafiri unaweza rudi ukakuta mbwa kakonda sana make mama hapendi mbwa ila wewe unapenda.
Sisi Africa kigezo ni Pesa basi na Demu au Men kakuzimia basi inatosha kuwekana ndani na hapo ndo matatizo huanza.
Mfano
- Mke anapenda Kuogelea wewe hupendi, hapo kukwaruzana kutatokea tu one day au mke itafikia wakati ataibia atenda kuogelea. Ile seke seke la Mwanza inaonekana mke alikuwa anapenda sana kujirusha na jamaa akawa yeye hana huo utanaduni, Mke hadi anaedna sijui uwanjani kucheki mpira ila jamaa kakomaa majini na samaki. Mke anenda kwenye show ya Diamond jamaaa hana hio hoby.
Vipi kama wote wangekuwa na Hoby zinazo endana kabisa angalau kwa asilimua 70?
- Mzee anapenda kwenda kutazama mpira Mke hapendi.
- Mke anapenda kutoka Out sana Mzeee hapendi.
- Mke anapenda Socilization au kusocilize na Mzeee yeye hapendi kabisa.
- Mzeee anapenda ufugaji ila mama yeye anapenda mambo ya urembo.
- Mama anapenda kilimo ila mzeee hapendi kabisa.
Hapa ndio mitifuano huwa inaanzia, Mke alikuwa na vitu anavyo vipenda ana lazimishwa aviache, wapo watakao acha kabisa, na wapo wanatakao acha kwa muda fulani au wapo watakao kuwa wanaibia.Ndo maana Familua zetu mara nyingi kwenye kumbi za Starehe una kuta ni wanaume tupu, Wamama wako Nyumbani au Mzeee eti anatoka out na Washikaji zake na mama naye anatoka na shoga zake out na watoto wanatoka na rafiki zao out.
Yaani Familia 1 ila Mama anatokaga na Shoga zake, Baba na washikaji wake na Watoto na rafiki zao, hapa sio sawa ni long run.
Hapa ndo kuvunjika kwa maadili kuna po anzia baadae tuna walaumu wazungu.

- kupenda Kuogele
- Dancing
- Ku watch Move
- Travelling
- Cooking
- playing game
- Business
- Kugugs wanyama al Love animali