Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu

Unamshauri fisi asitafute mifupa?CCM wakitaka kulinda heshima yao bora wasisimamishe mgombea hii itawaepushia aibu na matumizi ya fedha yasiyo na tija. Katika watu 10 niliongea nao baada ya hukumu, wote 10 wanaiunga mkono CHADEMA
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu
Huyu jamaa ni mzembe sana kasaidiwa yeye pamoja na mkewe Jaji Aisha Nyerere na serikali ya kifedhuli ya CCM sidhani kama atashinda ubunge wa EALA tuache kumzungumzia huyu jamaa kuhusu yeye kugombea ubunge wa Arusha Mjini kwani hata kata ya sekei anakoishi mkewe huyu jamaa hawezi kushinda udiwani achilia mbali ubunge wa A town!
Habari ambazo zimenifikia kutoka kwa mtu wa karibu na Makongoro zinasema kuwa ameamua atagombea Arusha Mjini kama atakosa Afrika Mashariki. Ni kweli jina la baba yake ni kubwa na ndio maana 1995 alishinda kirahisi Arusha. CCM wanaweza kumwona kama mtu muafaka maana alishinda mwaka 1995. Hata hivyo chadema ni maji marefu sana Arusha hawezi kushinda kwa maoni yangu
Labda wamrudishe tena Sioi!Maana siku yamatokeo alitia huruma mno,tutampa kura za pole ya Arumeru! Jamaa wametia hasara taifa!Wanategemea ushindi Arusha tena?Nadhani wamependa hali yahewa wanataka warudi Arusha wale bata!Si ndio zao?