Makongoro Nyerere aaga mbio za Urais, ajikaanga kwa mafuta yake

Si bure na wewe unatumiwa.


Yes, natumika na NAFSI YANGU...kukilinda CCM na kusema ukweli sahihi...as well kuacha upotoshwaji juu ya Lowassa...!!! Nasema kweli daima, sio sbb ya mtu au nani, sbb NAAMINI DEEP in truth...!!!
 
Kudhibitiwa SIO USALITI...!!!

Kudhibitiwa ni dhambi ndogo sana, na washafutiwa kifungo sbb walikidhi vigezo na kuheshimu masharti ya chama.... ILA USALITI NI KUUA CHAMA.... in other words msaliti ni sawa leo uwe mtu wa Mungu, kesho UKO NA SHETANI ukiongoza kumuangusha Mungu.. very different scenarios...!!! Lowassa ni mtiifu kwa chama na Serikali ya CCM, ndio mtaji na kila kitu kwa sasa.... hakuna mwingine...!!!

Tafsili ya usaliti naona imekukimbia kichwani...utatokwa povu sana.

Kipengele hiki kinazungumzia mtu aliye wahi kuwa mwanachama wa chama kingine kabla/baada ya kuwa mwanachama wa CCM.

1.Inaweza kuwa alikuwa mwanachama wa chama kingine, ndio akajiunga na CCM...huu hauwezi kuwa usaliti.
Jaribu kusoma hicho kipengele uende kwenye dhana pana ya swali lenyewe

2.Anaweza kuwa manachama wa CCM na kuhama, then kurudi...huu nao sio usaliti...(inaweza kuwa kwa manufaa ya CCM, au alitumwa kufanya kazi flani...ambayo wewe hujui kwa kuwa CCM ni chama dola) na ndio maana amekuwa promoted baada ya hapo...try to think out of the box

Kwa mantiki ya pili, labda alitumwa ili kuleta taswila kwa jumuiya za kimataifa na watanzania ili kuonyesha upinzani sio uhaini, kwa kuwa hata mtoto wa Muasisi yuko upinzani.

Ila kwa mtu alie "KIUKA" maadili ya chama, huyo ni mtomvu wa nidhamu...kosa lake ni kubwa ukilinganinsha na swali la kwanza.
Tafakari....amka

Cc; Ritz
 
Last edited by a moderator:
CCM inachekesha vigezo si vya chama labda vimetungwa na Nape.Mtashangaa baadae mtaposikia kamati kuu imepitisha majina ya Makongoro,Lowassa,Wasirra,Mwigulu, Magufuri na Karume
 
Makongoro anatumika, na tunajua familia ipi inamtumia WAKIDHANIA WATAMDHOOFISHA LOWASSA... na hiyo familia inajidanganya, kuwa MAKONGORO ATABEBWA NA JINA LA MWALIMU NYERERE... wakisahau watu wa leo hawajali majina tena, wako ktk ukweli, hawambiwi bali wanatafakari na kutenda, JK aliliona hilo ndio AKATOA TAMKO WAZIII..kuwa tuchague mtu anayekubalika na kuuzika, NDANI na NJE ya CCM ikiwa CCM itataka kushinda, na KUONYA zama za kudhania CCM IKITEUA mgombea URAIS basi ndio atakuwa RAIS imepitwa na wakati... Lazima CCM imchague mtu anaeuzika nje na ndani ya CCM...ili CCM ibaki madarakani... na Mtu huyo ni Lowassa...!!!

Hivi assume Lowassa hayupo leo CCM, weka wagombea wengine wooote, then msumamishe na Dr. Slaa, CCM itashindwa na kufa kabisaaa... CCM haina mtu anayekubalika na kuuzika kama Lowassa kwa sasa...hakuna..!!
team lwasa bana, mnachekesha! sasa huyu anakubalika wapi na kina nani wanamkubali??
labda anakubalika na mkeo!
 
hizi fitina zenu ziyashindwa mda c mrefu....naona mnahangaika sana Ila hamtafanikiwa....
 
Je lowasa aliyekutuma atajibu vipi kipengere cha mgombea alowahi kutuhumiwa kwa kosa la jinai, maana kuhama ni simple issue ukiinganisha na kutuhumiwa kuibia serikali, hivi tunaweza kumnyima mtu urais kisa aliama chama tukampa mtu kisa alituhumiwa kuibia nchi? Nina was was kama lowassa ataweza kupita
 
Mkuu naona unaongea kirahisi sana dhumuni la la kiweka hicho kipengere ni kuwakwamisha wale wote waliohama CCM kugombea urais, Wassira na Makongoro lazima watatoshwa.[/QUOTE

..kirudisheni chama chetu ..na wakati mnakirudisha kipitishieni kwa Makongoro... nyinyi ni vibaka tu, mmetajirika mkiwa kwenye chama chetu alafu mnaanza kukivuruga? ..sisi ni wengi na nyinyi in wachache, turudishieni chama chetu ...mnataka kukipeleka wapi, na sisi mnatuacha wapi?
 
Hivi sijui wanajua kuwa kigezo cha afya wameshafeli, au wanapoteza tuu muda!

Mtu mwenyewe wanayemtetea ukimwangalia anaongea waweza kuhisi kabemendwa, mtu wa miaka 68 unazidiwa afya na wazee wa miaka 90 akina Mwinyi, Kingunge na Mugabe? ...Ikulu isigeuzwe wodi ya kulaza wagonjwa jamani, dah!
 
"Linguistics is..." Hii lugha ilokuja kwa meli ni sheeedah!


Omg...u wanted to say..."Linguistics are..."

God plz help these people going to hell...!!! Even hakuna kitu kama hicho..!!! ✘✘✘✘ = ̄ω ̄=, Σ( ° △°|||)...!! 👎
 
Wakati Makongoro akitanganza nia na kuchukua fomu kwa mbwembwe, hatimae fomu ya kujaza imemtoa jasho na kushindwa ajaze nini, Ndo maana Mnaona yupo kimya kama hayupo vile. Kajikunyata kama kanyeshewa na Mvua. Hapa ndo nmeamini ule usemi usemao "kisicho Riziki hakiliki"

Kipengele kilichomfanya adondoshe chozi kwenye jicho moja la kushoto na kujifuta kwa mkono wa kulia, ni kile kinacho uliza kama Mgombea Urais alishawahi kuhama chama cha siasa na kujiunga na kingine tofauti na TANU na ASP. Hapo ndo nikakumbuka ule usemi Unaosema, Ukiona Mwanaume analia, ujue kuna jambo.

Baadhi ya Maswali ni haya;

Mwenyewe baaada ya Kuona hicho kipengele, nikaanza kujiuliza;

Makongoro alihama chama cha mapinduzi akahamia NCCR Mageuzi na kugombea Ubunge jimbo la Arusha. Kinachonifanya nikune kichwa, Najiuliza atakataaje au atajiteteaje kwamba hajawahi kuhama chama wakati kila mtu alimuona alipokua Mbunge wa Arusha?

Makongoro aliruka vihunzi vingi. Naamin hata hiki atakiruka.

Hii ndo imenifanya niamini CCM wanao ustaraabu Maalum wa kuwaengua Wagombea ili wanaye mtaka apite
.

Hivyo hata Wasira kajikaanga? Si alukwa NCCR huyu?
 
"Kibra" .. "Urself"

Looks like you have your own standards of "Loyal Leaders" and Ufisadi ingredients is ok with all of you. ... Mkuu Kibla jielekezeni wenyewe maana ni compatible na DOWANS.



Not me, talk to ur candidate...!!!
Ur candidate is intoxicated with very killer alcoholic drink, deadly and most harmful, called GONGO, which is haramu..so if we allow wanywa gongo waingie Ikulu, nchi itayumba...!! Dereva mlevi AJALI HAIKWEPEKI.. !!! Rais mlevi nchi itayumba na kutumaliza kwa ajali...!!!

Dowans sio ya Lowassa, naona UNATAFUTA FUJO na Mkulu aliyewaleta Wamarekani na kuibariki...!!! Hujamaliza ya Mnywa Gongo, unaanzisha ligi nyingine....Kwanza kitendo cha KUSHIRIKI KTK GONGO ambayo ni haramu na ni kati ya dangerous drinks, ni SIFA TOSHA kupigwa chini na CCM, achia mbali USALITI
 
Mtu mwenyewe wanayemtetea ukimwangalia anaongea waweza kuhisi kabemendwa, mtu wa miaka 68 unazidiwa afya na wazee wa miaka 90 akina Mwinyi, Kingunge na Mugabe? ...Ikulu isigeuzwe wodi ya kulaza wagonjwa jamani, dah!

si bora yeye 68 unamuona wewe..sikupatii picha utakavyofika 60's na hizo stress zinazokuandama kisa mwanaume mwenzio EL..si tutakuzika wewe?? ila kumbuka kila muosha huoshwaa... ongelea point siyo unatokwa povuu tu
 
Teh teh teh wafuasi wa Chadema wana wajadili wagombea wa CCM nani msafi apitishwe safi sana.



Haaa...imagine ukienda CDM eti Dr. Slaa ndio purest form of a leader, and being shown as an example...!!! yaani matahira wakifuatana, hawajuani kabisaaa...sasa jaribu kusema unautaka URAIS au Uwenyekiti uko CDM, weee utafukuzwa kama mbwa mwizi...hakuna Democracy kabisa.. wamewakamata vitahira huko....

CCM kila mtu yuko huru, ukitaka hata kugombea nafasi yoyote unaenda, ukose mwenyewe tu, CCM ndio mfano halisi wa demokrasia, kila mtu ana nafasi na uhuru na haki ya kugombea au kutoa mawazo huru... huko kwingine kama sio Mbowe familiy, Mtei, au chaga umeliwa...utabakia kufuata mkia tu hadi kifo... au wanakufukuza kama fisi like Zitto, kisa kuomba ridhaa ya kutaka kuwa Mwenyekiti wa CDM...unaona kilichomkuta..!!!
 
Mleta mada sijui vipi, watu wanahama nchi kwenda nchi nyingine na wanakuwa viongozi sembuse chama, kama ni hivyo wakina Nape, Sitta, Mwakwembe, Wassira hawana nafasi katika uongozi wake, kuama sio tija.
 
Back
Top Bottom