Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,453
- 43,797
Kwi kwi kwi kwi!!!Mwanangu mwenyewe Makongoro kakurupuka sana nadhani hakupata washauri wazuri. Kawe sio pa rahisi kuna dalili za kuvuliwa nguo na Bi Halima.
Kwi kwi kwi kwi!!!Mwanangu mwenyewe Makongoro kakurupuka sana nadhani hakupata washauri wazuri. Kawe sio pa rahisi kuna dalili za kuvuliwa nguo na Bi Halima.
Kamanda usimpangie yeye kaamua kugombea Kawe wewe wasiwasi wako nini?Makongoro anaogopa kumuudhi Mukono, lakini jimbo la Butiama angepita kirahisi. Kawe anahangaika bure, hatopata kitu. kwa ccm.
Leo hii baada ya kuingilia maslahi ya Chadema? Mbona wakati anampa za uso Lowassa mlikuwa mpo upande wake? Tulieni dawa iwaingie.Makongoro anachekesha
haya tuone wanafiki chagadema kama wataendelea kumshabikia, nakumbuka walikuwa wanamshabikia sana kwenye kinyang'anyiro cha kupitisha mgombea urais ccm. hadi leo sijajua kwanini walikuwa wanamshabikia
Kamanda mbona hamtaki Makongoro agombee Kawe?Mako bora angeenda Arusha tu kumchomoa huyo jamaa wanayedai anakubalika wakati hakufikisha hata 50% ya kura zote zilizopigwa mwaka 2010.
Kamanda usimpangie yeye kaamua kugombea Kawe wewe wasiwasi wako nini?
Mkuu makamanda wamepagwa kweli kila mmoja anakuja na ushahuri wake.makamanda hawakutarajia hili... hehehe! ila mako atachukuwa jimbo kiulaini KAWE halima hana chake ... hamtakati tena
Jimbo la Butiama siyo la Mkono, Mkono yuko Msoma vijijini, jimbo ambalo limegawanywa, jimbo jipya ndo anagombea Muhongo
Mkuu hizo fikra zako akishindwa sindiyo vizuri au?Makongoro asahau kuingia bungeni..... Ukawa watashinda Kawe
Makongoro anaogopa kumuudhi Mukono, lakini jimbo la Butiama angepita kirahisi. Kawe anahangaika bure, hatopata kitu. kwa ccm.
Makongoro asahau kuingia bungeni..... Ukawa watashinda Kawe
Mkuu makamanda wamepagwa kweli kila mmoja anakuja na ushahuri wake.
Teh teh teh
Siasa hizi ni balaa nimecheka sana wiki mbili zilizopita wafuasi wa Chadema walikuwa wanamshangilia sana Makongoro Nyerere kuwa kiboko ya mafisadi, anakwenda kugombea ubunge Kawe wamebadilika tena.
Makongoro njembe mimi ni mkazi wa Kawe kura yangu takupa ukapambane na mafisadi bungeni.
Makamamda tumpeni kura Makongoro.
Kwa nini pro-Chadema mnaogopa Makongoro Nyerere kugombea Kawe?