Makondakta wa Daladala sasa kusoma CBE kwa mujibu wa kanuni kabla ya Kuajiriwa kuanzia 01/07/2022

Ujinga mtupu na kutokuwa makini katika ubunifu
Hivi think tank wetu wana IQ ya ngapi?

Watu wanakufa kwa ajali badala ya kuwapa mafunzo madereva na kuwapiga faini kubwa sana wamiliki wasiofanya service magari yao na kusababisha ajali eti wamebuni Bonge la ajira na ulaji what a joke
 
ukondakta wa daladala unaenda kuwa ajira rasmi sasa,tutegemee makonda kuwa wasafi na wenye kujipiga pafyumu sio kama wale wanaonuka vikwapa
 
Baada ya hapo watatakiwa wawe na cheti na walipia serikali kodi.

Sa100 anaupiga kama wote asee.

Ila ni jambo jema mana makonda wamekaa kiwizi wizi labda watastaarabika.

Kama.nawaona graduates wakibanana hapo cbe kupiga kozi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LATRA imesema kuanzia 01 07 2022 makondakta wote wa daladala wanatakiwa kupata mafunzo Chuo Cha Biashara CBE kabla ya Kuajiriwa na kutambuliwa rasmi kisheria.

Mkurugenzi wa LATRA mh Kahatano amesema sheria hii mpya inawahusu pia makondakta wa mabasi ya mikoani na vijijini.

Chanzo: ITV habari
Kwahiyo CBE soon kitakuwa a.k.a. chuo cha makonda?
 
LATRA imesema kuanzia 01 07 2022 makondakta wote wa daladala wanatakiwa kupata mafunzo Chuo Cha Biashara CBE kabla ya Kuajiriwa na kutambuliwa rasmi kisheria.

Mkurugenzi wa LATRA mh Kahatano amesema sheria hii mpya inawahusu pia makondakta wa mabasi ya mikoani na vijijini.

Chanzo: ITV habari
CCM Chama Cha Mazezeta
 
Back
Top Bottom