johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,789
- 143,241
LATRA imesema kuanzia 01 07 2022 makondakta wote wa daladala wanatakiwa kupata mafunzo Chuo Cha Biashara CBE kabla ya Kuajiriwa na kutambuliwa rasmi kisheria.
Mkurugenzi wa LATRA mh Kahatano amesema sheria hii mpya inawahusu pia makondakta wa mabasi ya mikoani na vijijini.
Chanzo: ITV habari
Mkurugenzi wa LATRA mh Kahatano amesema sheria hii mpya inawahusu pia makondakta wa mabasi ya mikoani na vijijini.
Chanzo: ITV habari