mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
WAingereza wana kamsemo kanachosema hivi "There is no such thing as a free lunch", yaani hakuna kitu kama chakula cha bure. Lazima awepo mtu anayelipia. Kwa mtazamo wa Makonda nadhani anataka wamuliki wa daladala ndo wawalipie walimu.Mkuu wa wilaya ya Kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.
Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa Rais mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa ana majukumu mengi hasa ya kumsaidia mheshimiwa Rais.
Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.
Makonda mbunifu, tumpe mda kabla yakuponda
wewe chizi nini? angesema walimu atawapa pesa zake au serikali itawapa pesa walimu ili wajilipie daladala, kwani amewasiliana na wamiliki wa daladala? haoni asikali wanavyotaabika ,bila kutumia nguvu wasingepanda.
I dont know kwa kweli but labda he has a good idea, but kuwatambua itakuwa very changamotoMkuu wa wilaya ya Kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.
Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa Rais mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa ana majukumu mengi hasa ya kumsaidia mheshimiwa Rais.
Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.

Aisee dont count Makonda off,kijana mbunifu huyu acha tumsubirieKuna watu wao kila kitu lazima akiponde...
UKWELI Lazima Usemwe Tu, Hata Kama Utakuwa Mchungu Kwenu!!! NAWE Umekaririshwa Kukubali Na Kuamini Kila Jambo, Hata Ilikuwa La HOVYO, UONGO, UPUUZI Na KUSADIKIKA!!!!! HAYA Subirini Mje Kuona WAALIMU Wakisafirishwa Bure!!!!!Kuna watu mnaishi kwakukariri kupondea kila kitu
Wazo potofu. Msaidie mwalimu kupitia payslip yake!Mkuu wa wilaya ya Kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.