Mkuu hilo ni wazo la kukurupuka tu na kukosa la kuongea,hakuna msafirishaji atakaye kubali kumsafirisha mwalimu kwa agizo la makonda, hilo ni ndoto tuHao askari pamoja na ubabe wao,uniform na mamlaka bado wanaitwa "maiti' kwani sio hiari yao wenye mabus ndio itakuwa walimu wetu?
Atafute njia nyingine kuliko hiyo ambayo walimu wetu watanyanyaswa, kutukanwa na kudhalilishwa mpaka watauchukia huo ualimu bure!
Wazo lake laweza zuri lakini sio kwa wakati huu
Hapo kuna ubunifu gani?naona mnaota tu nani akubali kusafirisha walimu kwa agizo la makonda?makonda ni nani ndani ya taifa la tanzania?Makonda mbunifu, tumpe mda kabla yakuponda
Hiyo ya wapiganaji wetu kusafiri bure haikuwa ni agizo la mtu mdogo kama makondaMimi naona ni Good idea, Kama mwanajeahi au askari anasafiri bure.. Kwa nini mwalimu asidafiri bure na yeye? Wawe na vitambulisho tu... Mwalimu ni mtu muhimu sana ...
Na hii ndiyo solution...kwanza ili eti itawasaidia kuwahi kazini doesn't make any sense; labda hilo la kuwapunguzia ukali wa maisha, ambalo hata hivyo, kama wapo serious, basi wawape transport allowance ya angalau Sh.2000/day kuliko kusema wapande kwenye daladala bure.
Kama sio moja ya solution basi angalau kichwani mtu unaweza ukaona Makonda ana lengo gani, kama mnaona sio solution, unapopinga au kukosoa muwe mnatoa sababu za kupinga na kukosoa kwa kutoa mbinu mbadala.Mkuu wa wilaya ya.kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.
Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa raisi mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa anamajukumu mengi hasa yakumsaidia mheshimiwa raisi.
Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu.au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.
bright idea.SI WAWANUNULIE MABASI SPECHEL KWA AJILI YA WALIMU,ila walimu wawe wanachinga mafuta ila selikali pia igharamie
Kama sio moja ya solution basi angalau kichwani mtu unaweza ukaona Makonda ana lengo gani, kama mnaona sio solution, unapopinga au kukosoa muwe mnatoa sababu za kupinga na kukosoa kwa kutoa mbinu mbadala.
Makonda mimi namkubali sana... wakati wengine wanaanza kumkubali sasa mimi nilimkubali tangu kitambo lakini katika hili, hapana! Hapana si kwamba haiwezekani au hawezi ku-facilitate hicho kitu lakini hapana coz' issue yenyewe itakuwa chanzo cha embarrassment kwa walimu! Hata Wajeda wanavyopanda bure makondakta(kazi kwelikweli) huwa wana-mind sana sema ndo vile tena wanawaogopa! Angalau tungekuwa na mfumo wa seasonal tickets; hiyo ingekuwa rahisi kinyume chake watoe Transport Allowance.
makonda ana hoja nzuri tatizo ni namna ya kuitekeleza...
Mwalimu kwanza wengine wafuate, hata ww umepata kufahamu kusoma na kuandika kwa kufundishwa na Mwalimu, na hata hao Dr, nurses, Prof. Wote wmefundishwa na Mwalimu!!Mwalimu huyu huyu au mwingine? Hakuna kitu kibaya kama kuwa biased, hivi Madaktari na Manesi nao hawastahili? Na wengine je?
Utasaidia gharama za mafuta,vipuri,posho na MABAO YA TRAFIC?Mimi naona ni Good idea, Kama mwanajeahi au askari anasafiri bure.. Kwa nini mwalimu asidafiri bure na yeye? Wawe na vitambulisho tu... Mwalimu ni mtu muhimu sana ...