Makonda wa daladala

Makonda wa daladala

vasilisa mzuri

Senior Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
113
Reaction score
55
Kumekuwa na tabia ya makonda wa daladala hasa wakati magari yapo kwenye foleni au kwenye traffic lights kusema wanaomba kazi kwa madereva wa kike.

Nimeshuhudia hili mara nyingi sana na mashosti zangu wengine wameona hili. Sijawahi kuona au kusikia madereva wa kiume wakiombwa kazi.

Nimekuwa nikijiuliza ni kazi gani wanaomba na kuna ambao wamewahi kupata kazi kwa njia hii?
 
Itakuwa ni utani tu na ukizingatia makondakta wengi wanalazimika kuwa wacheshi na wapenda utani kutokana na ugumu wa kazi yao.

Wanaume hatutaniwi kwasababu huwa tuna stress za maisha kwahiyo makondakta wanaogopa wasije kufanyiwa yale ya Ditopile (R.I.P).
 
Umejuaje kwamba wanaume huwa hawaombwi kazi?
 
Mpaka kakwambia hivyo na ukasikia ina maana kioo huku pandisha na uli pay attention....next time pandisha vioo washa radio...jitulize..
 
hapo wanakuwa hawamaanishi kazi kwenye gari ya petrol, wanataka gari linaloendeshwa kwa damu.
 
Back
Top Bottom