SITABIRIKI
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 364
- 105
Wana jukwaa mu haligani?
Nimepanda daladala mida hii toka S. Gema kuja Jamatin konda ananuka balaa na kinacho toa harufu ni nguo ya ndani kiasi inzi kumfata yanI gari nzima inanuka.
IMENIBIDI KUTEREMKA NJIANI NITAFUTE USAFIRI MWINGINE