Makonda vs ITV

ITV wako sawa.. Bashite anatakiwa awe keko na sio kwenye runinga.. Yani tukae sebuleni kwetu tukiangalia fa fa fa fa kweli? Ndio maana siwezi kosa taarifa ya ITV
 
Issue iko hivi makonda angeweka mambo yake hadharan tuhuma zinazomkabili ingekuwa wazi kuliko saiv imekuwa kam kiki hivi na mzajamzaha watu wapo njia panda san ndyo maan vyombo vingne vya habar wanapuuzia
 
Wachaga wote wako against na Makonda.
 
Wakuu wa mikoa mingine sherehe zao za kutimiza mwaka mmoja mbona hazisikiki wamekosa mafungu ya kufanyia sherehe?
 

 
Media sio za mchezo zikiamua kukupotezea unasahaulika fasta, leo kuna mtu anaishia kupost habari zake kwenye viblog uchwara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…