Makonda una mambo mengi ambayo huyamalizagi ( unfinished Business)

Ng'wana Makonda, Mwangaruka muyanda!

Juhudi zako za kukomboa wanawake tunaziona lkn hujawahi kuzipatia. Mara zote umezua taharuki. Nafikiri bado dhana ya haki sawa na masuala ya kijinsia hujapata nafasi ya kuyapitia sawasawa Mkuu wetu!
1. Jiulize mwenye wake wanne arobaini itatosha?
2. Mke anafanya kazi na mme hafanyi kazi? Mwanamke nae Ile 40 itaenda kwa me?
Ningeshauri Kama Kiongozi pigana Sana kutafuta fursa rafiki kwa wanawake, ili wajielekeze kwenye kusaka maisha kwa nguvu zao, hii itakuwa na tija kuliko kuidumaza akili yao kwa kuilekeza kwenye 40%.

Ni maoni tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho hakuna kuzurura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo mengi anayoyasema au kufanya bwana makonda hayatokani na research/utafiti Bali huyaibua ili aandikwe magazetini na kutangaza radioni. Kwa bahati mbaya sana wandishi hawa kutoka digital media hawana uwezo wa kuhoji maswali juu ya masuala
Amekuwa onja onja
Na sisi wananchi wake tumekuwa onjesha onjesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupuliza dawa ya kuua virusi vya Corona Dar!!!
images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom