Makonda umesema hutolipa Kisasi kwani ukiwa Katibu wa Uenezi na Itikadi wa CCM huwa unakuwa na Nguvu za Kimamlaka za Kutisha na Kuumiza Watu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,677
109,080
Nilijua tu kuwa utaanza kwa Kukosea, Kukurupuka na Kutoshaurika kama Kawaida yako.

Kuna Watu wanahisi Umeteuliwa kwa Kupendwa ila Umeteuliwa ili Uumbuke zaidi.

Najua umeanza kwa Pupa hivi ili kutaka Kuurudisha Umaarufu wako wa kuwa Mkuu wa Mkoa.

Kwa Characters zako hukutakiwa kuwa Mwenezi na Kitengo cha Ukatili kingekufaa.

Na kwa Kitendo chako cha Kuwatishia na Kuwaamrisha Mawaziri utahujumiwa tu.

Ushauri wangu Omba Ulinzi kwa Mama kwani Wanaokusifia Chamani ndiyo Maadui zako.

Kipawa kikubwa cha GENTAMYCINE ni kuona mbali hivyo kuwa Makini ili yasikukute.

Na namalizia kwa kukuambia kuwa 90% ya wana CCM ulionao karibu ni Nyoka Kwako.

Usipobadilika, kuyafanyia Kazi na kuwa Makini ipo Siku huu Uzi wangu utakumbukwa nawe.

Wadau wa Beach Kidimbwi ( hasa Mademu ) Mbezi Beach wanakukumbuka. Kawatembelee.
 
Nilishandaa wimbo wa kitabu

"Mimi ni mgeni dunia napita, najitafutia mali ya mbinguni, malaika wana niita mbinguni, sasa hii sio nchi yangu tenaaa."
 
Kwa nini yeye mtu mmoja kwa kupata hicho cheo tayari anajiona kuwa na uwezo wa kulipiza kisasi kwa watu fulani na hivyo kuwatoa hofu kuwa hatalipiza? Kasahau kwamba kuna kundi kubwa la umma aliloliumiza kwa kauli na matendo yake ambapo wengine aliwadharirisha kazini na uraiani, kuwatapeli mali zao, kuwafukuzisha kazi, kuwaachia ulemavu wa kudumu, kuwaacha yatima baada ya kuwachongea kwa boss wake au kuwanyima haki ya kuishi wazazi na ndugu zao (kama ni kweli) n.k. lakini umma huo haujawahi kujiona kuwa una uwezo wa kulipiza kisasi kipindi chote ambacho alikuwa nje ya mfumo?
 
Nimejaribu krejea katiba ya CCM Ibara ya 107 Kuangalia majukumu yake kwakweli amejipa madaraka makuba ambayo hata hayastahili hata kuongea anachoongea, anafika hatua anakua kama Katibu mkuu wa chama, Hakika hili ni anguko lake na Mama atakua amemweka hapo ili kuondoa lawama "jimalize mwenyewe" kwa wanajamii forums hebu tusome hiyo katiba nimweka link hapo Ibara ya 107 ibara ndogo ya pili inayoelekeza majukumu ya sekretarieti ya Siasa na Unenezi na MAJUKUMU YA KATIBU WAKE halafu tuwianishe na jinsi watu wanavyomkuza na kumpa kichwa>https://afisikuu.ccm.or.tz/website/katiba/Katiba ya CCM 2017 (dec 2018).pdf
 
1698215848224.jpg
 
Kwa nini yeye mtu mmoja kwa kupata hicho cheo tayari anajiona kuwa na uwezo wa kulipiza kisasi kwa watu fulani na hivyo kuwatoa hofu kuwa hatalipiza? Kasahau kwamba kuna kundi kubwa la umma aliloliumiza kwa kauli na matendo yake ambapo wengine aliwadharirisha kazini na uraiani, kuwatapeli mali zao, kuwafukuzisha kazi, kuwaachia ulemavu wa kudumu, kuwaacha yatima baada ya kuwachongea kwa boss wake au kuwanyima haki ya kuishi wazazi na ndugu zao (kama ni kweli) n.k. lakini umma huo haujawahi kujiona kuwa una uwezo wa kulipiza kisasi kipindi chote ambacho alikuwa nje ya mfumo?
Hajui hata Job Description yake kuwa yeye ni mwenezi tu wala si mtendaji mkuu,anajiona yeye ndiye Katibu Mkuu. Huyu zero brain kapewa kitanzi ajinyonge mwenyewe
 
Kwa wakati huu ambao uzembe ndio dili. Basi mtu kama Makonda ni muhimu na kaanza vizuri sana!

Katema cheche! kauli zake kwa mawaziri na wakuu wa Mikoa ni kauli nzuri sana inaamsha Ari ya utendaji, nataka niione akitumbua mawaziri ndani ya chama !!
 
Hajui hata Job Description yake kuwa yeye ni mwenezi tu wala si mtendaji mkuu,anajiona yeye ndiye Katibu Mkuu. Huyu zero brain kapewa kitanzi ajinyonge mwenyewe
Asante Mkuu na kuliweka hilo sawa nimeweka na link ya katiba ya chama pamoja na marekebisho yake ya mwaka 2018 inaonesha ni namna gani secretariet hiyo ya uenezi inatakiwa kutekeleza majukumu yake, huyu jamaa kwa kuzingatia mgawanyo wa majukumu katika katiba ya chama ni mtu mdogo sana mana ni katika oganaizesheni na wala sio utendaji wa chama, kwa maksudi kabisa anapoka madaraka ya Katibu mkuu mtendaji wa chama.
 
Kwa ilipofikia ccm, mtu mbabe na muovu ndio mwenye kusikilizwa. By nature makonda ni mshamba mwenye kiwango Cha juu Cha kujipendekeza, na anaona fahari sana kutumiwa na mamlaka ya uteuzi kufanya chochote.

Hapo alipo kutokana na tabia yake, tayari ana cheo kikubwa kuliko yoyote kasoro rais. Na atakuwa anaripoti Moja kwa Moja kwa rais, na sio wengine walioko juu yake, maana ni mpendwa sifa za kijinga. Na kwa sababu ya udhaifu ww mifumo yetu, atasikilizwa!
 
Bashite bado anafikiri ana zile nguvu zake alizojimilikisha wakati wa awamu ya nne. Amesahau hicho cheo alichopewa ni cha propaganda tu. Na wala hakina nguvu yoyote ile.
Kamtafute mbunge au waziri muulize Makonda ni nani kwake atakuwa na jibu. Kwa sababu wewe sio DC, RC hauwezi kujua mwenyekiti, makamu, katibu na katibu mwenezi ni nani. Ushauri wa Bure waulize watakupa jibu.
 
Back
Top Bottom