Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,397
- 1,580
kwani si mmesema mmeshamuua kwa sumu?
sasa mnalia nini?
sasa mnalia nini?
Hadi kufika 2025 huko CCM watamalizana sana kwa sumukwani si mmesema mmeshamuua kwa sumu?
sasa mnalia nini?
maiti za mafisadi tutachoma motoHadi kufika 2025 huko CCM watamalizana sana kwa sumu
Unajuaje kama Makonda hakuwa mfanyabiashara?Habari!
Nami leo nimeona nitie neno juu ya Paul Makonda. Huyu jamaa Mimi simwiti mheshimiwa. Hata kama atakuwa Rais kwa mifumo yetu bado nitamwita Rais Makonda sitaweka neno Mh.
Makonda akiwa kwenye ukuu wa mkoa ndani ya mwaka mmoja na nusu tayari alikuwa na utajiri usiopimika mpaka kuweza kumzawadia mke wake gari ya zaidi ya sh. Million 200 za Tanzania ilhali hakuwa mfanyabiashara awali kwamba tungesema pesa alizipata kwenye biashara zake.
Makonda akiwa RC Dar es salaam alipata kashfa ya blackmail na kujipatia majumba na magari ya fahari.
Makonda alipata kashfa ya kupitisha mzigo bandarini na kutaka kukwepa kodi ya billioni 2. Na kati ya zile Mali zipo za watu wengine na zake mwenyewe, hapo maana yake nini?
Maana yake watu walikuwa wakimpa pesa kama tozo yeye mifukoni kwake kisha kurahisishiwa mipango yao.
Tuhuma zote alizotuhumiwa yakuwahi kutoa ufafanuzi wa maana mpaka leo zaidi ya kuwalaani wanaomfuatilia .
Issue ya vyeti feki pia hajaijibia mpaka kesho.
Kichaka cha haya yote anajificha kwenye neno kuchapa kazi.
Kuna madaktari walikuwa wapo vizuri kazini, module zote wako njema ila cheti cha form 4 kiliwang'oa.
Kwahiyo jinai yoyote haisafishwi kwa
kuchapa kazi.
Issue ya USA kumtuhumu kuua watu (kudhulumu haki ya kuishi) hajawahi kuipinga kwa hoja.
Huyu Makonda mnayemsifia na kumtukuza ni lini ameanza uadilifu?
Mahakama wamempigania sana asichafuliwe jina baadaye kapata cheo akaanza kuwatukana watumishi wa mahakama. Hili lilinipa furaha maana hao mahakama walimlea wenyewe akawanyea mavi kiganjani.
Kwaiyo Makonda ni gangster kama kina mbowe wa club bilicans?Nchi ya ajabu sana hii, eti huyu gangstar ni kiongozi. Naye anaongelea uadilifu. This country fu@#££cks her people
Si mlisema amekufa,,,imekuaje tena au maiti nayo iwe na uadilifuHabari!
Nami leo nimeona nitie neno juu ya Paul Makonda. Huyu jamaa Mimi simwiti mheshimiwa. Hata kama atakuwa Rais kwa mifumo yetu bado nitamwita Rais Makonda sitaweka neno Mh.
Makonda akiwa kwenye ukuu wa mkoa ndani ya mwaka mmoja na nusu tayari alikuwa na utajiri usiopimika mpaka kuweza kumzawadia mke wake gari ya zaidi ya sh. Million 200 za Tanzania ilhali hakuwa mfanyabiashara awali kwamba tungesema pesa alizipata kwenye biashara zake.
Makonda akiwa RC Dar es salaam alipata kashfa ya blackmail na kujipatia majumba na magari ya fahari.
Makonda alipata kashfa ya kupitisha mzigo bandarini na kutaka kukwepa kodi ya billioni 2. Na kati ya zile Mali zipo za watu wengine na zake mwenyewe, hapo maana yake nini?
Maana yake watu walikuwa wakimpa pesa kama tozo yeye mifukoni kwake kisha kurahisishiwa mipango yao.
Tuhuma zote alizotuhumiwa yakuwahi kutoa ufafanuzi wa maana mpaka leo zaidi ya kuwalaani wanaomfuatilia .
Issue ya vyeti feki pia hajaijibia mpaka kesho.
Kichaka cha haya yote anajificha kwenye neno kuchapa kazi.
Kuna madaktari walikuwa wapo vizuri kazini, module zote wako njema ila cheti cha form 4 kiliwang'oa.
Kwahiyo jinai yoyote haisafishwi kwa
kuchapa kazi.
Issue ya USA kumtuhumu kuua watu (kudhulumu haki ya kuishi) hajawahi kuipinga kwa hoja.
Huyu Makonda mnayemsifia na kumtukuza ni lini ameanza uadilifu?
Mahakama wamempigania sana asichafuliwe jina baadaye kapata cheo akaanza kuwatukana watumishi wa mahakama. Hili lilinipa furaha maana hao mahakama walimlea wenyewe akawanyea mavi kiganjani.
Unapenda awe wa aje Sasa maana amekuwa mzuri Kwa watu hujapenda na akiwa mbaya pia hupendi Sasa afanyeje ufurahiHabari!

Hata ikishindikana muhimbili, kcmc n.k unapelekwa nyumbani. Uzuri wa haya mambo ni ya wote.Hivi kwanini mtu akishindikana nje anapelekwa Mzena?
Ona hili tope, kwa nini umemzungumzia Mbowe? Mbowe ni standards?Kwaiyo Makonda ni gangster kama kina mbowe wa club bilicans?
Kumbe na issue ya wese naye alikuwepo!Bila ya kusahau zile issue zile za kunyonya mafuta kutoka bandarini na kwenye meli kule Kigamboni
Kwamba...Hivi kwanini mtu akishindikana nje anapelekwa Mzena?
Unajuaje kama Makonda hakuwa mfanyabiashara?
Hawa wazee cjui kwann wanamchukia kijana makonda ..jamaa yuko vizur mnoo kwenye utendaji wakeMakonda akili kubwa , Ukiwa na kichwa maji lazima utamjadili juu juu.
Ngoja nikuulize, Makonda anapata wapi Hela za kuzawadia Pikipiki Jeshi la Polisi, Magari??
Kwahiyo nahilo unasema ni wizi ? Udhulumaji?.
Kuhusu Marekan, ni Kwa sababu ya Makonda kupambana na mashogam..wee ni shoga?.
Mwambie yeye Makonda akupeNipe tax bill za miaka 3 tu kabla hajawa RC
hizo anazipata kwa wahalifu wenzie na wauza ngadaUongo gan? Habari za Pikipiki, Magari huko Arusha, wee huzioni?.
nape.Habari!