Makonda: Tumetenga bajeti ya kuwapa nauli ombaomba wote warudi mikoani, waje muda wowote kuchukua

Katika wakuu wa mikoa hapa Tanzania waliocheza movies za kutisha basi ni Makonda!
Jamaa huyu noma,me napenda anavyobuni vitu unaviskia kwenye tv tu huku mtaani havifiki...

Angalia haya...
1-Wenyeviti wasafi kuzawadiawa gari..
2-Walimu kusafiri bure .
3-Kuwasafrisha ombaomba ndani ya wiki moja miezi iliyopita hata kutoa deadline na mikakati kibao... ...

Leo tena nadina mario!!!!! "kuwapa nauli"
 
Wakazi wa Dar wote ni wa mikoani nao warudi makwao wabaki wazaramo tu kwa nini mnawanyanyapaa omba omba tu? Kwani sio binadamu?
Hawa omba omba miyeyusho
Mfano leo kuna watoto zaidi ya 10 vidogo badala waende shule vinaomba barabarani halafu wazazi wao wspo kivulini

Hii imekuwa biashara wanazaa makusudi kibao ,halafu hawana plan ya kuwekeza kila siku hvy hvy wanawaharibia maisha watoto wao..

Wananikera sana wamama wale ase
 
Nch yetu nayo ikiacha kuombaomba nazan pia awa ombaomba wataacha. I think they take full advantage of the chronic begging of the CCM regime
tanzania pia iache kuomba omba, ndo iwachukulie hatua , mana usitazame kibanzi kilicho ndani ya jicho lako alafu unasahau boliti........
 
Wakuu wa mikoa wengine mpo? Haya igeni mfano wa huyu bwana maana ni mbunifu sana.Mikakati yake mingi imeleta ufanisi mkubwa mfano : Nyumba kupakwa rangi,Omba omba kuondolewa dar,Senza ya kuhesabu na kubaini wasiokuwa na Kazi,mwendo kasi bure kwa walimu,Omba Omba kupewa nauli bure,watu wa mikoani kwend dar kwa vibali maalum n.k
 
mambo yanayoendelea tz nashindwa hata kuyashangaa Maana ni maajabu wap shisha,dada poa,wasio n.a. kazi yalishafanyiwa kazi hayo mamako?
 
Kwani huyu dogo enzi za Makamba yy alikuwa bado mkoani au? Aliwapandisha treni, lakini wakaridi. Matonya vs Makamba saga.
Anyway, mkoani kwenye ndio patakuwa makao makuu ya nchi, hautakuwa na sehemu ya kuwapeleka tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom