Makonda: Stieglers Gorge itamtua mama wa kijijini mzigo wa kuni na kumuondolea mama wa mjini jiko la mkaa

Myooo, iko wapi Hale? Pangani? Kidatu? na mengine? The world is moving from hydro power kwenda kwenye Gas na Nyuklia sisi tunatumia maji!! Tena tunaharibu mazingira!!
Dunia gani?....... Umesikia lile bwawa la China?
 
RC Makonda amesema mradi wa kuzalisha umeme wa Stieglers Gorge utakapokamilika taifa litajigomboa kwa kuwa na umeme mwingi kwa bei nafuu.
Makonda amedai kwa kuwa umeme huu utasambazwa kote vijijini basi mradi huu mkubwa sana unaenda kumtua mama wa kijijini mzigo wa kuni na pia mama wa mjini ataondokana na adha ya kutumia jiko la mkaa.

Source Clouds 360!

Huu ujinga anaoongea Makonda ndio ni part II ya ule uliokuwa unaongelewa wakati wa mradi wa gas. Kwa bahati mbaya anadhani watu wote ni wajinga wa kusikiliza hizo hadithi mfu.
 
Hili bwawa litazalisha megawatts zaidi ya 2000 wakati vyanzo vyote vya sasa vinazalisha megawatt 1500 tu, usisahau hilo!

Upatikanaji wa umeme kwa hakika hurahisisha maisha sana, ila linapokuja swala la mahitaji ya nishati jikoni - GAS ni jibu la kudumu.
Assuming johnthebaptist uko na kwako na kuna umeme, unaweza kusema nishati ipi inatumika sana jikoni??
 
bashite alikuwa anaongea kama nani, maana naona kaongea kiujumla jumla kama mwakilishi wa wakuu wote wa mikoa tz!.
 
Back
Top Bottom