Makonda: Stieglers Gorge itamtua mama wa kijijini mzigo wa kuni na kumuondolea mama wa mjini jiko la mkaa

mkuu mbona unatumia nguvu nyingi saaaana kuchambua maneno ya wanasiasa??? mwanasiasa akikwambia usiku mwema, fungua dirisha uangalie kama kweli ni usiku.

hayo ndo maneno ya wanasiasa, usiyatilie maanani kiasi hicho.
Hata wakati wa kiama watakaoenda motoni baada ya shetami ni Wanasiasa!
 
RC Makonda amesema mradi wa kuzalisha umeme wa Stieglers Gorge utakapokamilika taifa litajigomboa kwa kuwa na umeme mwingi kwa bei nafuu.
Makonda amedai kwa kuwa umeme huu utasambazwa kote vijijini basi mradi huu mkubwa sana unaenda kumtua mama wa kijijini mzigo wa kuni na pia mama wa mjini ataondokana na adha ya kutumia jiko la mkaa.

Source Clouds 360!
Tuliambiwa hivi kwenye gas ya mtwara, wachezaji wanabadilika, lakini ngoma na mpinga zumari ni wale wale
 
Samahani mkuu. Unaweza kunitukana tena?
Vyote hivyo huvibeba kichwani. Kupanda ni kuchaguwa. Vyote vinakwenda pamoja kitakachowahi ndicho atakachotangulia kutua.
Miradi mingi ya maji ipo inajengwa na mingine inasubiri Umeme wa bei nafuu ili gharama ya uendeshaji ishuke. Sasa mengine fikiria kwa akili yako kilaza wewe.
 
Najaribu kuelewa ila swali......Kwani Tanzania imeanza kutumia HEP mwaka gani na kwa nini bei haikuwa rahisi kipindi hicho????
Hili bwawa litazalisha megawatts zaidi ya 2000 wakati vyanzo vyote vya sasa vinazalisha megawatt 1500 tu, usisahau hilo!
 
Hata hapo Ufipa chai mtachemshia birika ya umeme akina Lijuakali watapumzika kuwaletea magunia ya mkaa!
Hata Waitara ingekuwa bado yupo hapo Lumumba anampikia Nchimbi chai nae asingepata tabu ya kuharibu macho yake yawe mekundu kwa moshi wa kuni.
 
Kumbuka wakati wapinzani wanapinga kupitishwa kwa hati ya dharura mswaada wa sheria ya mafuta na gesi,Magu alikuwa ni mmoja wabunge wa CCM wa CCM na waziri wa serikali ya CCM alieshiriki kupiga makofi na kusema "ndiooooo" .
Lowassa hakupiga kura?!!
 
Myooo, iko wapi Hale? Pangani? Kidatu? na mengine? The world is moving from hydro power kwenda kwenye Gas na Nyuklia sisi tunatumia maji!! Tena tunaharibu mazingira!!
 
Back
Top Bottom