Makonda: Stieglers Gorge itamtua mama wa kijijini mzigo wa kuni na kumuondolea mama wa mjini jiko la mkaa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,148
RC Makonda amesema mradi wa kuzalisha umeme wa Stieglers Gorge utakapokamilika taifa litajigomboa kwa kuwa na umeme mwingi kwa bei nafuu.

Makonda amedai kwa kuwa umeme huu utasambazwa kote vijijini basi mradi huu mkubwa sana unaenda kumtua mama wa kijijini mzigo wa kuni na pia mama wa mjini ataondokana na adha ya kutumia jiko la mkaa.

Source Clouds 360!
 
Hahahahaha...makonda ndiye kafanya utafiti huu..!!? Sijui watanzania tunakwama wapi...huyu zero brain anaweza kufanya analysis na kujua jinsi yule mama wa kijini ambaye hata umeme was Rea haujamfikia...anayetumia nyumba ya udongo anunue jiko la umeme na atumie vzuri!??
 
Vijiji vya upareni wanatumia majiko ya umeme tangia 1990s so inawezekana kabisa!
 
Kutua mzigo wa kuni = watatumia zaidi majiko ya umeme badala ya kuni.
Adha ya jiko la mkaa = watatumia zaidi majiko ya umeme badala ya mkaa.

Swali: Watanzania wangapi wenye umeme majumbani kwao kwa sasa wanatumia majiko ya umeme???

"Mtu akikuambia neno la kijinga nawe ukakubali, mtu huyo atakudharau".(J.K Nyerere)
 
Tujitahidi kwanza tuwatue ndoo za maji kabla ya kuni na mkaa.
Vyote hivyo huvibeba kichwani. Kupanda ni kuchaguwa. Vyote vinakwenda pamoja kitakachowahi ndicho atakachotangulia kutua.
Miradi mingi ya maji ipo inajengwa na mingine inasubiri Umeme wa bei nafuu ili gharama ya uendeshaji ishuke. Sasa mengine fikiria kwa akili yako kilaza wewe.
 
Kutua mzigo wa kuni = watatumia zaidi majiko ya umeme badala ya kuni.
Adha ya jiko la mkaa = watatumia zaidi majiko ya umeme badala ya mkaa.

Swali: Watanzania wangapi wenye umeme majumbani kwao kwa sasa wanatumia majiko ya umeme???
Umeambiwa umeme utakuwa bei rahisi uwe unaelewa!
 
Hahahahaha...makonda ndiye kafanya utafiti huu..!!? Sijui watanzania tunakwama wapi...huyu zero brain anaweza kufanya analysis na kujua jinsi yule mama wa kijini ambaye hata umeme was Rea haujamfikia...anayetumia nyumba ya udongo anunue jiko la umeme na atumie vzuri!??
mkuu mbona unatumia nguvu nyingi saaaana kuchambua maneno ya wanasiasa??? mwanasiasa akikwambia usiku mwema, fungua dirisha uangalie kama kweli ni usiku.

hayo ndo maneno ya wanasiasa, usiyatilie maanani kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom