Makonda: Ssebo aliniambia nifanye namna LULU atoke Gerezani

Makonda: Ssebo aliniambia nifanye namna LULU atoke Gerezani

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,612
Reaction score
40,158
My take:
1. Kumbe Viongozi wananamna zao na uwezo wakuwatoa baadhi ya watu wao Gerezani?!

2. Viongozi wafundishwe Namna ya kuzungumza na tai ya kuzungumza

--------------
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amesema marehemu Dennis Busulwa maarufu kama Ssebo atakumbukwa kwa mambo mengi aliyoyafanya katika maisha yake.

Amesema miongoni mwa mambo makubwa yatakayokumbukwa ni namna alivyoishi kwa kuunganisha watu na kudumisha urafiki pamoja na undugu wa asili kati ya Tanzania na Uganda.

Makonda ameyasema hayo wakati wa misa ya kumuaga marehemu iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Martha, Mikocheni B, jijini Dar es Salaam.


 
Back
Top Bottom